Eti wanaume huwa hawaonji mara moja...!

Eti wanaume huwa hawaonji mara moja...!

Hapo wakurya mlipoamua kukopa mila ya wazaramo ndio nilipowapendea! Mwita Maranya utakuwa na kazi kubwa ya kumuwinda huyo Jiwe Linaloishi. Shauri yako na ubishi wako wa kikurya. Mie na mwanangu Zion Daughter tulikubembeleza twende White Party ukakataa eti unafuatilia suala la wizi wa ng'ombe. Mwenzio Jiwe Linaloishi alitinga kwenye party! Wenzio wanakushinda mambo madogo madogo kwa sababu ya unoko wako! Uwiiiiiiiii! Nimesema tu mume wangu usinipige jamani!

Hahaha wala usiogope my love mwaJ kama ilivyo ada nitakuchapa kwa kizaramo style!

Kuna mtu aliniwakilisha na kazi yake ilikuwa moja tu, kurekodi matukio yote yaliyokuwa yanakuhusu pamoja na kufuatilia nyendo zako!

Nimemtangazia vita Jiwe Linaloishi baada ya kushuhudia mishemishe zake za jana dhidi yako. Kitakachofuata ni yeye kuikimbia JF kama alivyohama nyumba mtaani!

Mwanangu Zion Daughter aliwakilisha vizuri sana sijaona chochote kibaya alichofanya jana. I'm proud of her...
 
Last edited by a moderator:
Aaaaaaaaa wapi! Ninamiamini sana Kaizer wala hawezi kutoboa siri.

Basi mimi nakung'ata sikio kuanzia sasa usiendelee kumuamini Kaizer.

Kwa taarifa yako jamaa akipata Balimi tatu tu kwisha habari yake anaongea yote hata yale ya sirini!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha wala usiogope my love mwaJ kama ilivyo ada nitakuchapa kwa kizaramo style!

Kuna mtu aliniwakilisha na kazi yake ilikuwa moja tu, kurekodi matukio yote yaliyokuwa yanakuhusu pamoja na kufuatilia nyendo zako!

Nimemtangazia vita Jiwe Linaloishi baada ya kushuhudia mishemishe zake za jana dhidi yako. Kitakachofuata ni yeye kuikimbia JF kama alivyohama nyumba mtaani!

Mwanangu Zion Daughter aliwakilisha vizuri sana sijaona chochote kibaya alichofanya jana. I'm proud of her...

Khaaaa! Nimenuna mie! You should also be proud of me! Kwani mie kuna kibaya gani nilichofanya? Huyo mtu wako kakudanganya! Jiwe Linaloishi alikuwa cool wala hakuleta shida yoyote. Mie ninamtetea.
 
Last edited by a moderator:
Hivi katika hili ni nani anampa mwenzake na wa kupokea ni yupi. ni nani anaonja na yupi anaonjwa? na je usaliti ni kuacha au ni kuonja pembeni. kwa uzoefu walio wengi huonja/jwa pemben kwa siri kali na wenzi wao wanabaki kuamini hawajasalitiwa maisha yanakwenda! usaliti mbaya ni kumtosa mtu kwa kutaka chungu kipya na kutupa cha zamani

Mzamifu Kila jambo linalotokea katika maisha ya mwanadamu lina sababu , so Namshukuru Mungu kwa lililotokea maana nipo katika hali nzuri na yenye amani.
 
Khaaaa! Nimenuna mie! You should also be proud of me! Kwani mie kuna kibaya gani nilichofanya? Huyo mtu wako kakudanganya! Jiwe Linaloishi alikuwa cool wala hakuleta shida yoyote. Mie ninamtetea.

kwikwikwiwkwi sii tii neno kizuri chapendwa......

mwaj sijui uliniponyokaje... mpaka tata mwita akakupata
 
Back
Top Bottom