JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
Hiyo ni kweli kabisa kaka Mtambuzi, Ndiyo maana mm huwa nakataa moja kwa moja, maana kuna wanaume wengine ukimuonjesha tu , lazima ataulizia tena, na ukimwambia hapana Anakwambia mbona siku ile ulinipa, na ukimwambia nilikupa mara moja tu anakwambia anataka tena , Sasa ubaya awe ndiyo boss wako, ameitaka tena na wewe umekataa utaona Rangi zote hapo ofisini, atakufanyia visa mpk utampa tena. Ndiyo maana mm huwa nakataa kabisa tangu mwanzo kama ni hapana ni hapana na sibadilishi mtizamo.
MM NILIOLEWA NA MWANAUME AMBAYE SIKUMTEGEMEA KUWA MUME WANGU , ALIDAI YEYE ANATAKA KUONJA TU,KUMBE ALIKUWA AMENIPENDA ANATAKA KUNIACHANISHA NA MCHUMBA WANGU, BASI ALIFANYA HILA MPK YULE MCHUMBA AKAJUA. NDIPO NIKAWA SINA PA KUSHIKA IKABIDI NIMKUBALI YEYE AWE MUME.
hao huwa tunawaita luba.. wakinata hawatoki, nadhani na wewe ulipenda maisha si yanakwenda kama kawa?
ukiona mwanaume anaomba kuonja ujue anajiweka kwenye mazingira ya kukutoka mda wowote asiponogewa atasema alikuwa anaonja kweli. ila akinogewa tu anageuka unywele ukiunyoa kesho umeota