Eti wanaume huwa hawaonji mara moja...!

Eti wanaume huwa hawaonji mara moja...!

Ili kurudia kuonja lazima vigezo na masharti vizingatiwe
 
cta jali sana kwa kauli zake maana nikichukulia hivyo asemavyo naweza pata ugonjwa wa moyo bure nitakacho fanya me nitakua karibu naye sana na kuongeza malavidavi kwa sana yaani kila anapo kua anaenda hata kama kunisaliti lazima akumbuke kuna mke wangu home lkn ukisema uache kila anaye kwambia historia yake ya nyuma unaweza kua mwenda wazimu cha msingi ni kujitahidi kumsoma mpenzio na na kuziba mapungufu aliyo nayo ikiwa pamoja na kumbadilisha kitabia asante sana MTAMBUZI
 
hahahahahahah Mtambuzi mambo gani hii mi nishakuambia mahusiano na mapenzi hayana formula hivyo kma iliwahitokea kwa mpenzi wa nyuma sio lazima itokea kwa wasasa na kinyume chake.
Asante
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi huu ni kama tu mtego umeweka kwa sie akina mama/dada kutaka kuwaona wanachukuliaje usaliti. Mapenzi na mahusiano ya mapenzi huwa yanakuwa mara nyingi overrated or underrated na wahusika.

Siku zote mwanamke ama mwanaume ukitaka kuyaendesha mahusiano kwa mtindo wa kujifananisha na wanawake (kama wewe mwanamke) ama wanaume (kama wewe mwanaume) wenzio katika umuhimu wako katika maisha ya mpenzi wako inaweza leta shida sana kwa upande wa kujiamini; pengine hata kumuamini mpenzi wako juu ya penzi lenu.

1. Je utaichukuliaje kauli yake hiyo?

Mwanaume ni nadra kuwa atamwacha mwanamke ambae ANAMPENDA kweli eti tu sababu kafumaniwa (awe ni girlfriend, mke ama hawara); Atamuacha sababu alikuwa labda anamhitaji tu na ana umuhimu wowote or kama huyo ambae kafumaniwa nae atasimama kidete kutaka hayo mahusiano yasiwepo… Hivo akawa hana jinsi na kujikuta he has to let go.

2. Kama aliweza kumsaliti mpenzi wake aliyempenda sana, je hudhani kuwa hata wewe anaweza kukusaliti siku moja?

Kipimo cha mtu kukupenda ni nini Mtambuzi? How do you really know kuwa huyu ananipenda? How do you know kuwa anavyokupenda wewe ni chini ama juu ya mpenzi (wapenzi) waliopita hapo nyuma? Huu ni mtihani… Nadhani ni muhimu na busara kwa mtu kuangalia… Kama anapendwa (and feels kuwa s/he is loved) then yastahili kuridhika na kufurahia mapenzi as long as kuna heshima, amani na raha ndani ya penzi lenu. Kila mwanadamu hufanya makoso (iwe makusudi ama kwa kutereza); hivo kumjudge kwa makosa aliyofanya hapo nyuma IMO inakua kama unamuonea… For you never know ukute anaweza asikupende kama wa kale but wewe anakujali na kukuthamini na kafika to the extent hata wazo la kukusaliti halipo kabisa…

Kuna kitu kingine watu inabidi tutambue… In most cases huyo mpenzi wako wewe sio mpenzi wake wa kwanza… Wapo waliopita na kwa sababu mbali mbali (kwa kupenda ama kutokupenda) hayo mahusiana yalikufa na ndio maana ukawa nae – kwa maneno mengine sio ajabu kama na wewe pia mkaachana na akawa na mwingine tena… What matters is living the moment... What matters ni kuhakikisha kama huyo partner wako ni perfect fit basi nyote muwe dedicated kuhakikisha mnaenda sawa no matter the storm.. Ingawa wote huwa twaomba Mungu wewe uwe ni destination na sio an experience… Whether your wish itakuwa ama haitakuwa ni time pekee ambayo hutoa jibu.

3. Je utaamua kujiondoa mapema katika huo uhusiano au utaendelea na uhusiano huo kwa ile dhana kwamba yaliyopita si ndwele?

Take note mie nime observe.. Mwanaume akiseme nilimpenda sana yule mwanake (mara nyingi anakuwa bado anampenda) na hali mwanamke akisema the same thing (inakuwa ni kweli alimpenda but sio lazima kuwa bado ampenda). Katika hili la muhimu kutambua ni kua ni rahisi saana to make it work na mtu wako ulie nae sasa kuliko kuanza upya... Ukitaka kuachia ngazi kwa such a trival matter (tena lisilokuhusu) then utaachana na wangapi? Of coz lazima uoneshe hujapenda na kwamba hutapenda akufanyie hivo... Na pia mie personally nitataka kumujua huyo mwanake na kama wapo karibu sababu huyo anaweza kuwa hatari kwa afya ya penzi letu... Haya hivo hayo ndio mawazo yangu.

AshaDii u are very passionate when it comes to love.....................from now on you are baptized as Dr. LOVE...............
 
nilikuwa nishaanza kuandika comment...aah kumbe ni uzi wa akina dada wa JF...natoka...
 
Ningefrahi sana kama ningepata uzoefu kutoka kwa dada zangu hawa: Suprise, nivea, Madame B, Paloma, Kaunga, zione Daughter, amu, lara 1, charminglady, Nicole, marejesho, Nyamayao, Lisa, mwaJ, MadameX, Preta na Zinduna

Hebu kujeni pande hii mtoe uzoefu wenu hapa.........

kaka mtambuzi hakuna kitu mdada anfurahia m aisha kama kupendwa, kama kweli unahisi anasifa zote unazotaka wako awe nazo, hizo za zamani sio ishu kabsaaaaaaa, yani sie ni wepesi wa kusahau na tukizama tunazama dats y hata mkaka akikwambia alikua kicheche zamani sio point ya kuwafanya msiwe pamoja unaangalia now anabehave vipi, ni kweli ananipenda, ananijali na kuniheshimu, its enaf

achilia hizo story zake za zamani hata nikimkuta leo anacheat nna uwezo wa kumsamehe na kusahau so hizo za zamani haziwez nivuruga kabisa ndo kwanza kioo tinted. ila kwenu ninyi viumbe lol wagumu kusamehe ka nini cjui
 
Mtambuzi mtu afanyeje kama kachoviya kidole kwenye asali na akasikia tamu? mi nafikiri aendelee kulamba tu mpaka akinai, si kaamua kuonja?
 
mtambuzi,hautakiwi kurudi tena ukishaonja,ukijiroga tu kurudi,basi ndio mambo ya kufumaniwa,kutia mimba au chance ya kuambukizana inaongezeka.Dawa ni kuacha kuonjaonja
 
Nitaendelea na uhusiano.. But ntakuwa macho lol as anything can happen.

La muhmu akijaribu kucheat tena nisijue.

BTW huwa sifagilii ma historia as hayanisaidii.. Na mahusiano yake yalivyokuwa na mpenzi wa awali si lazima na kwangu iwe hivyo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nyamayao hilo lililokukuta limewakuta wengi sana. Bila shaka baada ya kudakwa hukupoteza muda kuangalia yaliyopita bali ulijikita na huyo aliyekudaka.
Nachoshindwa kuwaelewa baadhi ya wanawake wa siku hizi, wanafanyiwa kila aina ya vituko lakini bado tu ving'ang'anizi zaidi ya Luba. Kuna waliokumbana na maswahibu kama yako lakini ma x wao wakirudi na wao wanahiari kuachana na waliowadaka kuwatoa katika ukiwa na kuwarudia hao washenzi waliowatenda.
Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.

yap, ndio msukuma huyo, na alivyorudi alirudi kwa mbwembwe kibao akijua labda msukuma mpitaji kumbe mwenzie anataka kununua jumla na hivyo alivyojitosa kunisahaulisha nilivyotendwa then akaja kujua jamaa analeta mbwembwe zake, lol, akakuta mie nina mwanaume ati, alimuonyesha kwamba ameshanikamata tena vizuri sana na hana mpango wa kulegeza.
 
yap, ndio msukuma huyo, na alivyorudi alirudi kwa mbwembwe kibao akijua labda msukuma mpitaji kumbe mwenzie anataka kununua jumla na hivyo alivyojitosa kunisahaulisha nilivyotendwa then akaja kujua jamaa analeta mbwembwe zake, lol, akakuta mie nina mwanaume ati, alimuonyesha kwamba ameshanikamata tena vizuri sana na hana mpango wa kulegeza.

That's great Nyamayao bila shaka hata mumeo anakuheshimu na kujivunia wewe kwakuwa anatambua kwamba unamthamini sana. Waswahili wanasema penda unapopendwa, ukipenda usipopendwa utakufa siku si zako.
 
Last edited by a moderator:
Nitaendelea na uhusiano kwa ile dhana kwamba yaliyopita si ndwele....

My wife material mwaJ bado sijakusoma vizuri, hebu funguka kidogo. Kwamba uatendelea na mimi au unaendelea na x wako!? au unataka kutu-run wote wawili in parallel mode?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom