Eti uchochezi, uchochezi gani?

Unamaana gani kwao hakuna first born mkuu? Manake huyu jamaa kuna kitu anajaribu kukificha kwenye public


yeye wa nne kwao kuzaliwa sio first born

nimesema kwao hakuwa first born sijasema hakuna first born
 
tuzidishe kumuombea maana wao wameona hii ndo njia ya kuondoa umasikini
 
Kama anasoma hapa na hivi kila siku anasema niombeeni sijui anajua watu wanacho muombea ?
 
Unakalili maisha
 
Yeah. Yahoo ate my first website. Waay before Facebook I had all kinds of crazy articles about Black Holes and Quantum Physics way up there.E books too.

They didn't even give me proper notification so I could back it up!
Kabla ya hapo tulianza na Aliweb. Wewe ulikua bado mwanafunzi Tambaza.
 
Kila kukicha afadhali ya jana

Kiukweli tanzania bado tupo kwenye majaribio makubwa
 
Jiangalie kijana! Sio zama za Jk hiz.
 
kuweni makini jamani milioni 7 nyingi sana unamnunulia mchepuko kapasso kabisa!!!! ooooh sory nimesahau kumbe kuna railway levy?? sasa passo sijui itakuwa milioni 9 saiv?
 
Anasema matajiri waishi kama mashetani, naona hii kauli inatimia kweli maana big businesses zinauliwa moja baada ya nyingine, na kati ya zinazouliwa nyingi ni ambazo ni completely legal, basi tu for the sake of making a name they decide lets take them down. Its completely ignorant. Kama hivi vyombo vya habari I was really shocked, what the hell is this guy doing? Nimeogopa kabisa kufanyia kazi zangu Tz, I can't work anywhere ambapo they could take you down any minute just because they woke up on the wrong side of the bed, hakuna rule of law.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…