Eti uchochezi, uchochezi gani?

Jamani tuwe tunaandika vizuri maana hapa JF ndo mnakopumlia sasa msijekusababisha ban ya haja hapa.Tumia maneno mazuri ili muendelee kuwewesekea hapa JF
 
Amesema ukweli...kama hamtaki anzeni mbere... Wafanyakazi wa serikali si ndio wenyewe mlikuwa mbele kumchagua... sasa isomeni namba muelewe.. Safi sana.
 
Rais hana miaka miwili anaitwa dikteta tukitaka maendeleo lazima tuwe wavumilivu na tuweke siasa pembeni,hata kenya kulikuwa na KANU ikashindwa na wapinzani na wapinzani hakuna kitu walichobadilisha kwa Mwananchi wa kawaida,rushwa ipo ka kawa,ukabila ka Kawa,uvunjaji wa haki za binadamu ka kawa,ndio mkapa aliwaita malofa,ulofa sio lazima uwe Mali kuna ulofa wa akili pia.
 
Amesema ukweli...kama hamtaki anzeni mbere... Wafanyakazi wa serikali si ndio wenyewe mlikuwa mbele kumchagua... sasa isomeni namba muelewe.. Safi sana.
Duu haya bana, lakini mimi nipo makini sana kuchagua viongozi
 
Polisi kamata hii mtu fasta! Jina lake halisi ni Julius Maghembe au Magembe
Weka ushahidi kuwa hilo ndo jina langu la ukweli.

Eti jina lake halisi...hahaaa.

Hujui kwamba naweza kutunga jina feki ambalo nitalitumia kwa purposes za kiJF?
 
Don't worry. No one knows my real name in here because no one has ever seen my ID card or birth certificate!
 
Wacha atumie muda mwingi kuwabana sasa hivi kabla hawachukulia mazoea yale ya kuchekewachekewa. mwanzoni nguvu kubwa wakishaelewa hamna nguvu itakaypotukima kila mtu atafuata Sheria na Taratibu za nchi. Walilemazwa wakajua ndio kawaida!
 
Kuifungia JF hawataweza bali wataihack kama walivyofanya kipindi cha uchaguzi, aliehack atajiona mtabeee kumbe ni kucheza na server tu
 
Usijifananishe na msichana wa ndani,tatizo ni nini ukiambiwa ka utaki acha kazi mbona neno la kawaida tu kwa bosi yeyote,tatizo mlizoea kubembelezwa hii ndio lugha inayotakiwa
 
Usijifananishe na msichana wa ndani,tatizo ni nini ukiambiwa ka utaki acha kazi mbona neno la kawaida tu kwa bosi yeyote,tatizo mlizoea kubembelezwa hii ndio lugha inayotakiwa

Mwalimu wako alipata shida sana kukuelimiaha.
 
Ngabu ama wewe ni mchovu kama kauli za haou watuhumiwa kuchochea basi subiri wakutusi wewe
 
mawazo ya upande mmoja hayawezi kamwe kulisogeza taifa mbele. Sasa kila mtu ni wasiwasi tu, muda wowote unaweza pia kuambiwa imechochea moto.
 
mawazo ya upande mmoja hayawezi kamwe kulisogeza taifa mbele. Sasa kila mtu ni wasiwasi tu, muda wowote unaweza pia kuambiwa imechochea moto.
Kamanda mzima unakuwa muoga kiasi hiki. Sasa kama ndio hivyo nani atatokea kwenye maandamano tarehe mosi Septemba?
 
Hahahaa kuna watu waliwahi kusema huyu ni 'chaguo la Mungu'

Pengine walikuwa sawa. Swali ni kuwa huyo Mungu alichaguo hilo changuo ni mungu yupi? Ukipata jibu la swali hilo wala hutapingana nao. Wako miungu wengi tu, hata kama mtu ameamua kumwandika kwa herufi kubwa haimaanishi chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…