Eti uchochezi, uchochezi gani?

Uzalendo kupungua kwa asilimia chache Ya wananchi ni jambo la kawaida kwenye nchi yeyote,hata huko yankee sio raia wote wanakupenda,ni bora hayo maandeleo kuchelewa kuliko kuwa na demokrasi Ya kulazimishwa Kama ya kulazimishwa Kama Ya Libya.
All the best nigga!
 
Yaani ubabe wa "school yard" ndo jamaa anauleta kwenye kazi muhimu kama Urais.
 
mmeambiwa mtafwatwa hukohuko mnapobeba box kwa gharama xoxote usa baby
 
Hakuna uchochezi wala nini,,,,,
Neno hili linatumika kinyume na maana yake. Japo uhuru wa kujieleza na kupata habari ni haki ya binadamu, ila uhuru unatakiwa kuwa na mipaka, sioni haja ya kuvuka mipaka kwa uhuru kufananishwa na kitendo kinaitwa Uchochezi,,,haya ni mambo mawili tofauti,.
 
Ss hv ukitaka kutoa maoni mtandaoni lazima uwaze cha kuandika
Hawakawii kutukamata
Na JF yetu ikibaki salama sijui nadhani wanaitamani sana.
Wacha niendelee kusubiri Sept Mosi nkaandamane mie
 
Niliwahi kusoma mahala kwamba kiongozi yeyote asiye jiamini, huwa hapendi uhuru wa watu wa kutoa maoni yao na wala hawezi shiriki mikutano mikubwa ya watu wa ngazi yake maana uwezo wake utaonekana wazi wazi.......... sitashtuka nikisikia Nyani Ngabu kashtakiwa kwa hii thread
 
UCHOCHEZI ni dhana na tafsiri anayojipa mtu kwa mtazamo wake.Ucochezi ni uamusho wa nguvu iliyotulia, inaamshwa kwa malengo maalumu.Nguvu hii kama inatumiwa na upande mmoja dhidi ya upande wa pili ni kitisho kwa upande usiojinasibu na hizo nguvu,hivyo huonekana na uchochezi.Kwa hiyo hiyo nguvu isichochewe kuona udhaifu wa upande wa pili.Ibaki imetulia bila kuona wala kusikia.
 
Hiki kipindi kaamumuwa kuuwa nyani huku anamuangalia usoni hata kama unalengwa na machozi hajali mpaka uisome namba
 

Ana dharau sana kwetu sisi watumishi, anasema tuhamie tu Dodoma kama hatutaki tuache kazi... hii ni lugha ya dharau sana kwa mtu unayefanya naye kazi. Hata msichana wako wa kazi ukimuambia nataka uwe unawahi kuamka kama hutaki acha kazi, tayari unakua umemjengea kitu kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…