Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
ahahahahwe huna akili kabisa endelea kutafuta wenye ajira wakupande wakuchoke ubakie iddle alafu utakuja kuolewa na machinga badae
hapana jotiWewe jamaa una undugu na masanja
ahahahahaa
Sasa unaolewa naye au unaolewa na hao kuku? Nyie wanawake wengine mbona mnakosaga shukrani? Ndomana tunaishia kuwamega nakusepa zetu
aahahahaha nimecheka mpaka boss kanikazia macho... ahahahaha
Narrow minded.
Kaolewe na babako siyo mbaya mana ndo atakuwa na standard za mme umtakaye
ahahahahaHaya Dada. Mungu kasikia kilio chako. Atakujibu
ahahaha maana vyuma vimekaza mwambieeeItafika kipindi utahitaji hata mkaanga ubuyu na hutompata
dohShosti unaongea kwa kurfurahisha watu au yametoka moyoni? na kama yametoka moyoni basi afadhali huyo mfuga kuku mara 100 yuko nyumbani unamuona,nikupe mfano Mume wangu ni Pilot ya moja ya mashikirika ya ndege duniani, ila kwenye mwezi mmoja anaweza akawa nyumbani siku7 tuu siku zote leo yuko USA,mara Australia,mara Brazil kuna mda namuhitaji nyumbani hata tuongee hayupo sasa nna hiyari kufatana nae tukaongee huko huko au nimsubiri nyumbani,na anaweza kufika nyumbani anakwenda kwenye Biashara zake na mimi niko kazini,nikirudi nyumbani mpaka nikimaliza kupika tuna kula yeye hoi mie hoi hakuna kuongea siku inayo fuata mchana au jioni safari..
Usiombe shosti na pia shukuru bahati yako unaweza kumtaka anaekwenda Airport ukajuta atakavyo kusugua roho..
njoo huku inachekeshaPost yako haichekesh
mje na huku nimeshusha hadithi mpya... shuka chini utaiona Story: Money Penny ni nani lakini?!