Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Kweli jamaa kapitia mitihan sema alikuwa strategic Sana kutoka bot enzi za jakaya ukapanga cherehani mbili mtaani sio mchezo ila mpaka sa hivi kufungua ofisi nchi zaid ya saba
Kwakweli alikuwa na nia ya dhati,pia hakuwa muoga kuanguka!

Kama amefikia hatua hiyo hongera zake!
 
Huyu sista atakuja kuolewa na mjanja mmoja ambaye hana mbele wala nyuma .

Nishawahi kushuhudia hii unaleta nyodo sana.mwisho wa siku unapigwa kibendi na kula kulala unavalishwa Pete unawekwa ndani wauza kuku tu nakuja kuuza kuku siku ya harusi yako na canters zetu huku tukikuimbia "anawaka wakaaaa!!!"
 
Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!

Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.

Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.

Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku

Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!

Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!

Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
olewa tu
mwanaume machine beibeee

ukimaliza njoo uone wenzio wanapoolewa"

Njooni huku mumsaidie marehemu alieshindwa kutongozaaa Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke

Na huku dadaenu anafumaniwaaa STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
Akikujibu niPM
yeah.! hela ya Ufugaji in tamu kuzidi hata chips zenyewe..!!
U can’t be serious!
Khaa kweli nimeuona mwaka mpya na mambo yake!katafute wazee wa bandari wanakufaa mae
Khaa kweli nimeuona mwaka mpya na mambo yake!katafute wazee wa bandari wanakufaa mae
Sexless Kila siku unabadilisha jinsia.
Mdharau mwimba mguu huota tende ,unaruka mkojo unakanyaga mavi ipo siku utamkumbuka unayemuanika leo hii hujui thamani yake kwa sasa ,elimu yako uliyopata haina faida kwako kumbe waweza soma lkn akili ikawa haijui kupambanua mambo ,we mwache tu lkn acha kututolea mapovu kwani ulipompenda tulikuwepo ?
Njooni huku mumsaidie marehemu alieshindwa kutongozaaa Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke

Na huku dadaenu anafumaniwaaa STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
we huna akili kabisa endelea kutafuta wenye ajira wakupande wakuchoke ubakie iddle alafu utakuja kuolewa na machinga badae
 
Pumbavu sana !!

Shubamiiit kudaddeki heheheheh

Nafagia mabanda ya kuku nalima mboga mboga Nina Toyota RUSH ,Toyota Probox succeed ,Toyota HARRIER new model .

Nina kadi ya platinum and Gold heheheheh.

Nina nyumba kama tano za nguvu hapo jijini mbili ziko prime area u know

But unajua nini nashinda kisarawe nikivuta harufu za mavi ha kuku na sometime nipo mkurranga napalilia tikititi zangu au nipo chekereni nasimamia kitunguu kiote fresh .

Utaniambia nini wewe komaa na hao wanafanya kazi kwenye viyoyozi wakisubiria paycheck month after month heheheheh wakishurutishwa bila shuruti na mabosi wao hahahah.

Wanaambulia milioni 1 na viposho vya laki laki Mara moja kwa mwezi hahahah

Maisha ukileta mbwembwe na sitaki na nataka utaishia kuwa kuku wewe.

By author.
Wewe jamaa una undugu na masanja
 
Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!

Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.

Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.

Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku

Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!

Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!

Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
Shosti unaongea kwa kurfurahisha watu au yametoka moyoni? na kama yametoka moyoni basi afadhali huyo mfuga kuku mara 100 yuko nyumbani unamuona,nikupe mfano Mume wangu ni Pilot ya moja ya mashikirika ya ndege duniani, ila kwenye mwezi mmoja anaweza akawa nyumbani siku7 tuu siku zote leo yuko USA,mara Australia,mara Brazil kuna mda namuhitaji nyumbani hata tuongee hayupo sasa nna hiyari kufatana nae tukaongee huko huko au nimsubiri nyumbani,na anaweza kufika nyumbani anakwenda kwenye Biashara zake na mimi niko kazini,nikirudi nyumbani mpaka nikimaliza kupika tuna kula yeye hoi mie hoi hakuna kuongea siku inayo fuata mchana au jioni safari..
Usiombe shosti na pia shukuru bahati yako unaweza kumtaka anaekwenda Airport ukajuta atakavyo kusugua roho..
 
Kaolewe na babako siyo mbaya mana ndo atakuwa na standard za mme umtakaye
 
Itafika kipindi utahitaji hata mkaanga ubuyu na hutompata
 
Hutaki kuolewa na mfuga kuku mtu anayefanya kazi halali nenda kaolewena muuza poda au punda kabisa.Mtu utakayekuwa unamsindikiza kila siku airport!
 
Back
Top Bottom