Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Hahahaha haujui mufuga kuku anaweza kufungua kiwanda na akamuajiri huyo unayemtaka asbh unamwandalia chai anaenda airport ila kufanya kazi za huyo mufuga kuku kumbuka kuwa na akiba yamaneno pia mapenzi yaliyo yakweli hayana uhusiano wowote nakazi.
 
Usikute Babu yako mzaa Baba alikuwa mfuga kuku. USISTER DUU bada
 
Kichwa kibovu ww unatuzalau wafuga kuku ok nakupa mchanganuo kidogo tu mim na kuku 2500 wa mayai kuanzia kifaranga mbka now wanamiez 9 wanataga nimetumia milion 60 faida y kila siku nashika lak 4 uyo. Unaemsubir aibe ofcn au kweny vikao n magu kabana lin acha dharau
 
hahaaaa sasa wakati anakugegeda hukuwahi kuskia kijasho cha kuku..

wewe umeshagegedwa halafu sasa hvi wajifanya kushtuka
 
Ungejua hiyo biashara ina hela ndio inayotupa jeuri mjini hapa kutamba wasubirie hao wa kuwapokea airport
 
Huyo yuko njema kuliko sisi tunafunga tai then tunasubiri mwisho wa mwezi, mpende akupendaye unaweza penda usipopendwa.
 
Kuna mtu mmoja ana masters aliamua kuzikacha ajira. Akaanza kushona nguo kwa cherehani, akaongeza cherehani na mafundi, akabuni aina ya suti.. Leo hii ni brand kubwa sana na wasanii wote wakubwa wameshavaa nguo zake.
PSJ
 
Bwana akupe mume wa kufanana na wewe
Ila hujajua tu,hawa wafuga kuku nowdays ni wana maendeleo kuliko hao wavaa suti na peni kweny mfuko wa shati
[emoji188][emoji188]
kumbe unaakili kiasi hcho ..achana nahuyo mtoa mada huyo ni kungwi wa mashangingi hujamjua tu bado !?
 
mmh

zaa na diamond plutnumz utamsindikiza airport hadi uchoke..

kina babu tale ni wanaume ila wamakimbia hadi tip top na wasanii wao kisa safari za kupita airport

so wewe mwanamke utachoka mwenyewe..

ila jiandae vichambo vya wake wenza hamisa na zari
Hata Diamond kuna mademu walimtosa kipindi kile anaitwa Naseeb ila leo amekuwa jiwe kuu la pembeni. Maisha hayana mwenyewe wala fundi, yoyote anaweza kuyapata.
 
Wakati hapa nipo njiani kuacha kazi nikafuge kuku na kulima wewe unadharau? Aiseeee tupo tofauti.
Sema kilichokufanya umdharau jamaa anachambika na hana maisha maana angekuwa anamjengo mkali na usafiri kamwe usingemtangaza hapa.
Jamaa nampongeza maana kama alikutega kupima upendo kafanikiwa 100%
 
Pumbavu sana !!

Shubamiiit kudaddeki heheheheh

Nafagia mabanda ya kuku nalima mboga mboga Nina Toyota RUSH ,Toyota Probox succeed ,Toyota HARRIER new model .

Nina kadi ya platinum and Gold heheheheh.

Nina nyumba kama tano za nguvu hapo jijini mbili ziko prime area u know

But unajua nini nashinda kisarawe nikivuta harufu za mavi ha kuku na sometime nipo mkurranga napalilia tikititi zangu au nipo chekereni nasimamia kitunguu kiote fresh .

Utaniambia nini wewe komaa na hao wanafanya kazi kwenye viyoyozi wakisubiria paycheck month after month heheheheh wakishurutishwa bila shuruti na mabosi wao hahahah.


Wanaambulia milioni 1 na viposho vya laki laki Mara moja kwa mwezi hahahah


Maisha ukileta mbwembwe na sitaki na nataka utaishia kuwa kuku wewe.


By author.
 
Hivi ukimpata huyo ofisa ambaye ameajiriwa huko upatakako halafu baada ya mwaka akapata Ulemavu let say aka-paralyse, ww si utamkimbia?
 
Back
Top Bottom