Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,693
Reaction score
65,312
Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!

Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.

Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.

Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku

Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!

Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!

Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
 
mmh

zaa na diamond plutnumz utamsindikiza airport hadi uchoke..

kina babu tale ni wanaume ila wamakimbia hadi tip top na wasanii wao kisa safari za kupita airport

so wewe mwanamke utachoka mwenyewe..

ila jiandae vichambo vya wake wenza hamisa na zari
 
Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!

Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.

Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.

Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku

Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chain ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!

Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!

Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.

Basi kaolewe na Msigwa!
 
Mdharau mwimba mguu huota tende ,unaruka mkojo unakanyaga mavi ipo siku utamkumbuka unayemuanika leo hii hujui thamani yake kwa sasa ,elimu yako uliyopata haina faida kwako kumbe waweza soma lkn akili ikawa haijui kupambanua mambo ,we mwache tu lkn acha kututolea mapovu kwani ulipompenda tulikuwepo ?
 
Back
Top Bottom