Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Fanya upendacho,na siyo wapendacho marafiki zako
 
Ngoja ufike umri wa miaka 37 ndoo utarudi kumfata wakuta anafata kuku kwa madiba na ndege
 
Hahahaaa. Pole sana Dada Kaka. Mie huwa siangaliagi hizo mambo aisee.

Cha muhimu mapenzi ya kweli tu. Na pia kwani hiyo shughuli yake haiingizi kipato.
 
Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!

Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.

Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.

Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku

Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!

Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!

Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
AKILI KICHWANI HUNA WEWE................
 
Ndo simtaki sasa
Njoo uolewe na mimi, katibu mkuu uwekezaji, vijana katika kamishna wa maadili ya umma Ofisi ya waziri mkuu and managenent ya tasisi za kiserikali nje na ndani ya afrika
[emoji74]
 
Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!

Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.

Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.

Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku

Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!

Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!

Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
Hongera dadaa. Msubiri mwingine utampata wa chaguo lako.
 
Hahaha wadada Wa humu kwa Ku fake hawajambo. Kama kweli vile.......Jamaa wako yupo form five now amevua Shari katundika nyuma ya kiti anapiga msuli anatafuta logarithm na Integration huko nyehungo sec afu unajileta hapa eti safari za airport. Mfyuuuuuuu kafie mbele
 
Mara mwanamke mara mwanaume

Mara haushiki mimba, mara umepewa mimba na mpaka kucha

Hujulikani wa kike wala wa kiume

Kama wewe ni mwanaume basi utakua shoga

Na kama wewe ni msichana/mwanamke utakua shangingi la mjini linalotegemea kikojoleo ili liishi
 
Back
Top Bottom