Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Mfuga kuku ana pesa kuliko hata wafanyakazi wengi tu,sema wewe umekariri! ebu fikria anapata trai nne za mayai,trai moja elfu 15,sasa elfu 15x4=60000tsh per day,kwa mwezi ana milioni na laki nane! hapo dharau inatoka wapi?
Hizi in hesabu za kwenye makaratasi tu. Gharama ya kidéri iko wapi? Gharama ya chakula iko wapi? Gharama ya kutembeza iko wapi? Hayo mayai utamuuzia nani?

Wateja wakubwa wa mayai in wakaanga chips, na hawa hununua ya kisasa kwasabb ya unafuu wa bei. Sasa haya ya kienyeni nani anayataka? Msipotoshe watu kwa miradi ya nadharia.
 
Kwa vile umeuanzisha huu uzi ili uone mapovu yetu basi subili ***** we unakimbia mtu smart unataka sisi waajiriwa akili zetu za kusubiri mshahara tumejawa hofu ya kutumbuliwa na jpm ndo unatuona bora sio sasa endelea kusubiri uone kitakachokufika.Utachakaa kwa kuendekeza machaguo na ubaguzi wako wa kitahira
 
Huyu jamaa ni mpuuzi tu kumbe anabadilika jinsi kila siku mshenzi sana .

Watu tunatoka jasho kukomenti hapa kumbe anatucheki tu hahahahahah .

Una bahati shubamiit wewe.
 
Tatizo la wanawake wengi hili! Kuna mmoja alishawahi kuleta uzi humu kwamba ukimuuliza mwanamke unataka mume wa namna gani atakwambia mrefu, mweusi, awe na six packs, n.k. Hawa watu wapo na ni wengi na bado wanawake wanalalamika kutopata wachumba, hizo sifa zote wanazo ila ni mafundi seremala au ni wafuga kuku. Basi kigezo cha mpunga muwe mnakitaja kama kama cha kwanza maana kwenye vigezo vyote hivi hiki hufichwa kutamkwa
 
Back
Top Bottom