Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

wewe 'kite' sikia hii...'Ufugaji wa Kuku unalipa vizuri sana kuliko hata hiyo degree na pengine kushinda hao wa airport unaowataka..'

Ukitaka mafanikio, kuwa mfugaji...'ubishoo peleka airport'
Hamjamuelewa! Hapo anatangaza kwamba amepata mchumba aliyejiajiri na anamtosheleza kwa mahitaji yake. Hongera sana!
 
Anatengeneza shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom