Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!

Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.

Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.

Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku

Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!

Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!

Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
AKILI ZENU NDOGO.SANA ILA KAMA JAMAA ASHATOMB.A HAINA SHIDA MWACHE ATATAFUTA WAFUGA KUKU WENZAKE .
KWA MAELEZO YAKO TU WEWE WAONESHA N MALAYA MZOEFU NA ULIYEKUBUHU SO HAUKO SERIOUS NA MAISHA BALI UNAIGIZA UNATAKA MWANAE AENDAE AIRPORT KILA SIKU AKATI ATA MAMA AKO HANA
 
Wenzio tunafikiria kuacha kazi za maofisini ili tukafuke kuku! Halafu wewe unabeza...!Huna sifa ya kuolewa wewe...unatakiwi utafunwe halafu uachwe ili umsubiri afisa...Nifuate inbox kama unahitaji kununuliwa wigi la milioni moja kwa siku ya leo...
Unaniambia mm ama alie toa post?
 
Endelea kutafuta na kumwomba shetani wako anayekuongoza utapata stahili yako
 
Huwa sikuamini na nyuzi zako, Mara mwanaume,Mara mwanamke. Huweleweki
 
Dah! Heko saaana kwa mshkaji, amezichanga karata vzr na ameliepuka garasa game likiwa ukingoni.
Kazi ni kwa vijana wenye alteza na verosa za kuazima. Soon watalilamba hili garasa
 
Kweli akili zenu mnazijua wenyewe
 
Tatizo ni pale mwanamke anapotaka kuolewa ili "atoke" kimaisha. Jiulize wewe utachangia nini katika hayo mahusiano yenu, jamaa walau anafuga kuku. Captain Sanders naye alidharaulika na recipe yake ya KFC, unaona KFC ilipo sasa. Hivi siku hizi kuna mahusiano/ndoa based purely on true Love? Sidhani, Kama kuchuma mtachuma wote mbele ya safari.
 
Bado hujakuwa ngoja ule umri wa kujishebedua upite utaomba kuolea hata na dobi hahahahahahah
 
Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!

Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.

Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.

Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku

Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!

Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!

Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
Umemjibu vyema,unataka mwanaume wa kumsindikiza airport...ata uyo mfugaji unaweza muandaaa akapanda ndege...mnapokua mnaliwa na kuachwa hadi umri unakua umesogea sana ni 7bu mnaonekana mnapenda vitu vilivyotayar ....
Andaa vyako basi sio kuleta dharau is kijna wa watu
Mdharau mwimba mguu huota tende ,unaruka mkojo unakanyaga mavi ipo siku utamkumbuka unayemuanika leo hii hujui thamani yake kwa sasa ,elimu yako uliyopata haina faida kwako kumbe waweza soma lkn akili ikawa haijui kupambanua mambo ,we mwache tu lkn acha kututolea mapovu kwani ulipompenda tulikuwepo ?
 
Shubamiiitiiii pumbavu sana we we uliongeza uwingi wa wanafunzi darasani
 
endelea tu kuitoa wakati ukingoja ofisa - ikisha chakaa hata jogoo wenyewe ( kuku ) watakukimbia acha ya mfugaji
 
Shubamiiitiiii pumbavu sana we we uliongeza uwingi wa wanafunzi darasani
 
Back
Top Bottom