Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Acha dharau,bora ungesema hana nguvu za kiume.hata ukiolewa na tajiri mungu akakupa mtihani mumeo akafirisika.
 
Kuna Jamaa pale Bagamoyo, ni Vijana wako wawili, kwa mwezi wanauza hadi 60m!!!!! Ukiondoa running cost ni lazima watakua wanasevu Kama 30m kwa mwezi, hiki kiserikali chako kilichojaa frustration ni lini utapata Kidume chenye income Kama Hii??
 
Mtoa mada naisi una hangover ,hao mashost wako wanakupa kula, kuvaa, wanakutoa na nyege ama Kweli sexless ,na waolewa na kazi au na mwanaume tafakari hao ni mashost tu kila mtu ana maisha yake
 
Mpenzi Dunia imebadilika.. Wajasilia mali ndio watu wenye uwezo mkubwa wa kutengeneza pesa na kutimiza ndoto zako... Unaweza olewa na bank teller tai mbele ila mshahara wake mdogo unaishia kwenye nauli ya kwendea kazini naye akaishia kukuboa.
 
Mchafu wa tabia wewe. Na usiolewe na mwanaume yoyote mpaka waingia kaburini. Si kwa dhihaka uliyotufanyia wanaume wajasiriamali.
 
Kwani wafugakuku tuna tatizo na wew dada?, sas mbona unatutendea haya
 
jamaa kaona mnaendana....una muonekano wa mfuga mbuzi.
 
Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!

Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.

Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.

Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku

Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!

Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!

Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
Haya maneno yako dada yangu utakuja kutamani kuyarudisha kinywani mwako na usiweze tena. Wakati huo majuto yatakuwa ni mjukuu. Huwa hatuongei maneno mabaya kiasi hiki mama. Ungeelewa maana ya maisha halisi. Hichi ulichoandika bora ungebaki nacho moyoni tu. Period.
 
Back
Top Bottom