Okay, nimekuelewa, heri ya mwaka 2018 upate wa kumsindikiza airport. Ila mfuga kuku kapata tender ya kupeleka kuku Oman na Dubai kupitia Emirates. Utamsindikiza?Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!
Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.
Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.
Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku
Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!
Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!
Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
Una haki kabisa ya kumchagua MUME unayemtaka. Kama ambavyo wewe hutaki kuolewa na MFUGA KUKU, pia kuna wanaume ambao hawako tayari KUOA mwanamke mwenye akili za KUKU kama zako. Nafikiri huyo mfuga kuku sasa hivi ameshatambua kuwa akili zako ni kama za KUKU anaowafuga.Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!
Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.
Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.
Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku
Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!
Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!
Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
Mungu atakubariki na ndoa utaisikia kwa wenzio kwa nyodo hizo. Ukae ukijua mwanamme ndio huwa anachagua wa kuoa. Unaemtaka wewe akuoe yeye atakuwa hana habari na wewe na ukilazimisha utajikuta unaolewa kwenye mateso. Acha kudharau shughuli za watuSiku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!
Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.
Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.
Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku
Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!
Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!
Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
Mkuu umenena vyema. Hajitambui huyo. 2018 itamwendea vjbayaUna haki kabisa ya kumchagua MUME unayemtaka. Kama ambavyo wewe hutaki kuolewa na MFUGA KUKU, pia kuna wanaume ambao hawako tayari KUOA mwanamke mwenye akili za KUKU kama zako. Nafikiri huyo mfuga kuku sasa hivi ameshatambua kuwa akili zako ni kama za KUKU anaowafuga.
Sikia dada yangu Sexless Wanawake wapo wengi sana kuliko wanaume. Kwa taarifa yako huyo MFUGA KUKU hana hasara wewe kumkataa. Wapo wenzako wenye akili KUKUZIDI wewe na wanatamani sana wawapate hata WAFUGA SUNGURA na hawawapati.
Imeandikwa hivi kwenye Biblia; "Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu MUME mmoja wakisema, tutakula chakula chetu na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako, UTUONDOLEE aibu yetu". ISAYA 4:1
Na mwaka huu utaolewa na mchimba mashimo kwa hadhi uliyonayo.Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!
Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.
Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.
Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku
Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!
Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!
Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
Duuh! Mkuu umefika mbali sana.i maana umeandika kama kutokujua kama kuna mungu
Shukrani, ndiye huyo nilikuwa namzungumzia!Hata Yule jamaa special mwanamitimdo alikuwa ameajiriwa bot analipwa 150 per day na posho kibao aliacha akahamia kwenye mambo ya kushona
Kwa kifupi unapaswa UKATUBU.Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!
Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.
Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.
Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku
Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!
Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!
Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
Kweli jamaa kapitia mitihan sema alikuwa strategic Sana kutoka bot enzi za jakaya ukapanga cherehani mbili mtaani sio mchezo ila mpaka sa hivi kufungua ofisi nchi zaid ya sabaShukrani, ndiye huyo nilikuwa namzungumzia!
Watu wanaodharau ujasiriamali hawajui faida zake.
Kila kitu ukikifanya kwa dhamira ya kweli huku ukiongozwa na nidhamu basi mafanikio ni lazima!