Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Nadhani mada hii umeitoa kama chemshabongo f'lani na si kwamba iko vile.
Kwa bidada, bonge la mwanake aliyevuruga umande hadi chuo na kuondoa ujinga, hawezi kuleta ujinga hata siku1.
Miradi ya kuku inalipa kupita hata hizo white colour job zako hizo.
Nitapungua busara nikendelea kuchanga karata zangu hapa.
 
Kuna mtu mmoja ana masters aliamua kuzikacha ajira. Akaanza kushona nguo kwa cherehani, akaongeza cherehani na mafundi, akabuni aina ya suti.. Leo hii ni brand kubwa sana na wasanii wote wakubwa wameshavaa nguo zake.
 
nani anataka mambo ya kuajiriwa.....full tena wapiteeeee..waolewe na manager wa.....
 
Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!

Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.

Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.

Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku

Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!

Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!

Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
Posts kama hii ukisoma tu IQ yako inashuka,
Sijui kwa nini nimesoma.
 
Hahahaha muda c mrefu utaleta thread hapa unatafuta mume we tulia tu.
 
Kazi ni kazi bora mkono uende kinywani, mbaya ni kazi haramu tu. ...tatizo mabinti wa leo hamna pendo la moyoni mpo kimaslahi zaidi. Na ndio maana ndoa nyingi leo hii hazidumu, pole sana dada yangu ila usimtukane mamba kabla haujavuka mto maana hujafa hujaumbika.
 
Wewe unashida kichwani,ipo siku utakuja hapa kutafuta bwana ata mfua nguo "dobi"
 
Yule mume mwenye sura mbaya ushaachana nae? Na yule bwana aliekukataza kuweka profile picha ziwa wazi bado yupo?
Mbona ueleweki mama unao mabwana wangapi?
 
Back
Top Bottom