Eti nae katoka nyumbani amevaa

muslim-veil-3.jpg


hawa wastaarabu sana......

Mhh, mkuu, utapotea njia. Siku hizi hatuangalii mavazi maana kuna wahuni wanavaa mpaka kanzu ila hamna kitu
 
Pande za kwetu bado tunadumisha mila...
 

Attachments

  • african girl.jpg
    african girl.jpg
    22.6 KB · Views: 93
  • kenya girl.jpg
    kenya girl.jpg
    32.4 KB · Views: 88
Mastaa wakivaa hakuna anayeshangaa...!
 

Attachments

  • tonie.jpg
    tonie.jpg
    15.4 KB · Views: 80
  • 260-anne_hathaway_see_through.jpg
    260-anne_hathaway_see_through.jpg
    17.4 KB · Views: 96
  • 266-paris_hilton_nipple_slip.jpg
    266-paris_hilton_nipple_slip.jpg
    30.3 KB · Views: 84
Ukweli husemwa:

Watanzania bana, kwani hujui kama kuna makabila ambayo kuwa na matiti nje ni fasheni. Kwanza kuvaa nguo mwili mzima ni utamaduni ambalo tumeletewa na weupe wa magharibi na mashariki ya mbali

angalia kabila la Wataturu:-

SAM_1085.JPG


SAM_1083.JPG

hao wataturu wana mila zao kwani huyo binti kwani ni mtaturu?
 
Yaani wewe umegonga penyewe! wakati mwingine wabongo tunajifanyaga watakatifu , oooh mara manguo marefu ndo utamaduni wetu, ooh msitembee uchi( hypocricy) wakati tamaduni zetu origin tulikuwa hatuvai nguo! haya mambo ya nguo yote yamekuja....aarrghhh

Kwanza hao wanaojishaua kwenye kandamnasi eti yuko uchi. Ukifuatilia matendo yao kwa undani unaweza ukapatwa na shinikizo la damu kwa mshangao. I don't like this kind of people. matendo yao ni sawasawa na wazungu. ukiongea nao wana smile unaweza ukafikili umefika kumbe hakuna lolote.
 
Mbona sikuelewi, Tatizo lako ni nini. Kama ni mwili wake kuwa wazi au ni mwili wake kuwa wazi wakati siyo kabila lake[/QU

Wewe si umefanya reference kwa kabila la wataturu, hatuishi porini btw..........we are civilized society, so go figure

hahahah, Wabongo bana. Your civilized!!!. Kweli?. Ndugu yangu, acha kukopa misemo ya wazungu. unajua hao unaowakopa msemo wako civilised mpaka wanalala na mbwa kitanda kimoja na akifa majivu yake wanaweka kwenye kopo na linakuwa karibu na mto wake kila usiku. halafu kama wakitangulia wao kufa, wanaacha urithi wa pesa kwa huyo mbwa.

Hapa ndipo Wazungu wametushika kweli, kwa mawazo haya siyo ajabu tunakutana na wasichana mitaani wanavaa thermal underwear na mabuti eti ni fasheni ambayo wameiona kutoka kwa watu 'civilised' wakati Tanzania joto ni 32'c.

Bora mimi na Utaturu wangu.
 
mbona picha iko nusu kwenye miguu vipi ?
Sasa wewe ulitakaje?halafu siku hizi masharobaro hawashughulikii vizuri hivi vibinti,wakipiga ki 1 tu wanageuka upande wa pili fofofofoooooooooooooooo!wapeni dozi nzuri hawa watoto watavaa vizuri tu!
 
it is absolutely shitty kukaa hivyo kwenye public

nevertheless ana nyonyo nzuri
 
Back
Top Bottom