Eti mliopata wapenzi JF.......

Eti mliopata wapenzi JF.......

humu ni kuimbiana nyimbo tuu baas... Hakuna mpenzi wala mupenzi wallah!!! I dont think soo...

Sema upande wako hakuna mapenzi lakini watu tayari tumesha chumbia bado harusi tu. Naomba mchango wako kufanikisha sherehe hii
 
:love::love::love::love:

images
 
Sema upande wako hakuna mapenzi lakini watu tayari tumesha chumbia bado harusi tu. Naomba mchango wako kufanikisha sherehe hii

mpwa naona umeshado ze nidiful apo....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom