Eti mliopata wapenzi JF.......

mi sina matusi na finest ni kaka yangu mimi ambaye mke wake wa halali ni afrodenzi ambaye umbande ni shoga yangu na upande ni wifi yangu....

Kha! basi nimeshindwa kupiga debe.
Angalizo nikipigwa kibuti naomba nafasi unifikirie hata ya ushika pembe sio mbaya :love::love::love::love::love:
 
LOL MPAKA UPIGWE KIBUTI... TENA UKIZINGATIA UTAKUWA TAYAR USED... MH MH ...NOOO...:nono::yo:.
Kha! basi nimeshindwa kupiga debe.
Angalizo nikipigwa kibuti naomba nafasi unifikirie hata ya ushika pembe sio mbaya :love::love::love::love::love:
 
Kha! basi nimeshindwa kupiga debe.
Angalizo nikipigwa kibuti naomba nafasi unifikirie hata ya ushika pembe sio mbaya :love::love::love::love::love:

images
 
Maty hujambo lakini?

Vipi wewe bado haujabadilisha ID?

Mzima dearest mimi sijabadili ID wala nini na akiandika pumba humu namgonga za uso tu na yanaishia humu humu jf tukikutana chemba tunaongelea yetu ya jf tunakua tumeyaacha huko huko
 
Mzima dearest mimi sijabadili ID wala nini na akiandika pumba humu namgonga za uso tu na yanaishia humu humu jf tukikutana chemba tunaongelea yetu ya jf tunakua tumeyaacha huko huko
Niandalie Guest leo!
 
Leo najisikia kunywa voiceroy na wewe!

Mh mwenzangu hiyo mi naiogopa aslani badili kinywaji bana, halafu hii posted vaya mobile hii toka w'end ndio umeamua kupitiliza mpaka leo
 
Back
Top Bottom