Eti mliopata wapenzi JF.......

haya yaapi si twazungumza tuu..na tena umetukuta barazani angalau labda tungekuwa chumbani lol we desidii mhh haya yaonyesha ushanchukia mtoto wa watu.. Inshallah kheyr.???
mmmmhhhhhh nitamwambia dada yangu yote unayofanya hapa??????
 
haya yaapi si twazungumza tuu..na tena umetukuta barazani angalau labda tungekuwa chumbani lol we desidii mhh haya yaonyesha ushanchukia mtoto wa watu.. Inshallah kheyr.???[/QUOT

Sina kinyongo na wewe dear kwanza hayanihusu!!!
 
Ee ee sikujua kuna watu wako serious hum wakisema natafuta mpenzi kumbe wanamaanisha, duh haya bwana kila la kheri.
 
Hivi kuna ukweli kwamba mliopata wapenzi jf mumesajiri ID nyingine??ili msigundulike kama mnachangia mada zakuwasononesha wapenzi wenu???je nikweli? Mawazo tafadhali.

I see mm sijabadili hii kitu inatia wakati mgumu na mpenzi wangu kila nikipost sivyo tayari cmu dah na hivi sasa kesha simamisha mahusiano
 
Ee ee sikujua kuna watu wako serious hum wakisema natafuta mpenzi kumbe wanamaanisha, duh haya bwana kila la kheri.

Sio kila wakati utani utani mm nasubili kutangaza tarehe ya harusi na kamati itatoka hapa hapa
 
Back
Top Bottom