njiwa JF-Expert Member Apr 16, 2009 12,366 5,495 Jan 18, 2011 #222 Viper said: mkuu we ni muoga au domo zege ..? mbona nimewahi kuona ndoa za facebook Click to expand... sio domo zege bana, rijali hawezi kupoteza muda kutafuta wanawake on-line sanasana JF , tena walio mbali na yeye.. tht is ridiculous
Viper said: mkuu we ni muoga au domo zege ..? mbona nimewahi kuona ndoa za facebook Click to expand... sio domo zege bana, rijali hawezi kupoteza muda kutafuta wanawake on-line sanasana JF , tena walio mbali na yeye.. tht is ridiculous
K Kashaija JF-Expert Member Aug 7, 2008 255 58 Jan 18, 2011 #223 TATIANA said: hebu niunganishie kwa mmoja plz tena fasta Click to expand... TATIANA, kwa kuwa na mimi natafuta naomba uni PM, maana naona inawezekana. Au umeshapata???
TATIANA said: hebu niunganishie kwa mmoja plz tena fasta Click to expand... TATIANA, kwa kuwa na mimi natafuta naomba uni PM, maana naona inawezekana. Au umeshapata???
MADAM T JF-Expert Member Oct 21, 2010 5,207 2,387 Jan 18, 2011 #224 Baba_Enock said: Mimi nimepata tena WAWILI! Humu humu! Click to expand... Hawajuani?