Ikitokea tukio la ghfla atatoka nje na kengele zinaning'inia?Ndiyo wapo wanalala kichele Yani uchiii
Hiyo tabia achenie mbona sisi tunalala na guo
Ila uchi ni jau bila boksaKama mazingira yako yana usalama wa kutosha ni afya kulala uchi, ila sisi tunaoishi Kwa Mnyamani ukituambia tulale uchi unatuonea.
Pia apunguze mwili,kesi nyingi za michubuko kwenye mapaja kwa wanaume hutokana na kuwa na miili mineneInabidi nani ya surual uvae zile boxer sijui tight ndefu hadi magotini ziwe za pamba.
Kwa watoto wa kiume hii ni kama nadharia, ila kulala utupu ni moja ya body relaxation.Mwanaume unalalaje uchi ukiingiliwa ndani na vibaka je Acheni izo vaa Ata bukta wadada ndo wanakula uchi washamba nyie
Hiyo ni dharura hata Mimi kuna jamaa yangu moto ulizuka kwenye makazi take mchana kweupe akiwa kajipumzisha, akichokumbuka ni kuokoa mkewe na watoto wake hakujua kabisa kama alikuwa uchi had I majirani wa mtaa walipomsitiri."ilitokea short ya umeme kwenye nyumba ya biashara,boss alitoka uchi wa mnyama ,baada ya pressure kushuka ndio mkewe akakumbuka yupo uchi""
Anasimulia mlipa kodi
Angelpumzika akiwa amevaa bukta angechomoka nayo!!Hiyo ni dharura hata Mimi kuna jamaa yangu moto ulizuka kwenye makazi take mchana kweupe akiwa kajipumzisha, akichokumbuka ni kuokoa mkewe na watoto wake hakujua kabisa kama alikuwa uchi had I majirani wa mtaa walipomsitiri.
Na hakuokoa Mali yoyote ndani
Hapo sasa! Yaani hataki mashambulizi ya kustukiza toka kwa ubavu wake! Kama siyo ukatili ni nini?!Yaani na pichu unalala nayo?
Wengine hata sio miili ni wana tege.Pia apunguze mwili,kesi nyingi za michubuko kwenye mapaja kwa wanaume hutokana na kuwa na miili minene
I na keraAsa uko na wife ndani minguo ya nn kitandani? au mnataka kutuaminisha mwanaume Akai uchi mlivo na tabia ngumu 😀