Je kuoga una oga na nguo ? ..wanao lala uchi si wanakuwa na shuka? Je wale wanao kwenda kuhiji makka wanakuwa wanajifunika shuka tu tena nje siyo chumbani ..hapo unasemaje
Mimi huku mbeya ni barlidi mkuu nipo tu nje na type!!!
😹😹ila maumbile yenu yanafurahisha sana kweli Mungu fundi
Hatakama hakuma ulinzi ni lazima nilale uchi ndo maana vijana wanaugua fangasi zile pumbu erosion sijui eroshenjSasa kama upo na wife na nje ulinzi wa kutosha kwanini usijiachie
😹😹ila maumbile yenu yanafurahisha sana kweli Mungu fundi
Hatakama hakuma ulinzi ni lazima nilale uchi ndo maana vijana wanaugua fangasi zile pumbu erosion sijui eroshenj
Kulala na minguo yote ni kutafuta maradhi usiyoyategemea.Duh mimi nimeshazoea kulala naminguo yote!
Kwa hiyo ulimkamata mwizi ukiwa na kiboksa?Kuna Siku Kuki kua na Attempt ya Wizi wa Motorcycle, Ilikua na kingamuzi, ile nashtuka tu nikaskia kingamuzi kinaita.
Nikachungululia dirishani hakuna mashine, nikachukua kisu nikatoka chapu, nilikua nimelala na boksa + Vest, ikabidi nitoke hvo hvo chapu kuokoa mali.
Sasa ningekua uchi, sijui ningefanyaje