Eti Kuna wanaume wanalala uchi duuuu

Eti Kuna wanaume wanalala uchi duuuu

Nikiwa na wife ni uchi bila kuuliza ila nikiwa peke yangu boxer inahusika unless niwe na michubuko kwenye mapaja hapo sins ujanja lazima nikipoze wa mnyama
 
Hivi kuna wenzangu wano penda kulala na taulo au ni mimi tu ,

Mimi napenda kulala na taulo unalifunga kwa pembeni tu ,

Huwa nakuwa free sana ,makende yanapumua kwa mbalii
 
Baada ya kuzungumzia kuwa na siraha mnazungumzia kulala uchi unaweza kulala na nguo hata za jeshi kama hauna siraha yeyote wahuni wanabaka familia huku ukiangalia...
Fanya unavyoweza tafuta mzigo uwe unapumua karibu na wewe...
 
Wewe unalala pekeyoko ndio maana ila kwa sisi tuliyokua kwenye ndoa twalala uchi tu na pembeni twaweka kanga na msuli au taulo na nikitoka chumbani ndio navaa bukta
 
Nikiwa na wife ni uchi bila kuuliza ila nikiwa peke yangu boxer inahusika unless niwe na michubuko kwenye mapaja hapo sins ujanja lazima nikipoze wa mnyama
Kwanini unachubuka? Ukitembea mapaja yanasuguana?
 
"ilitokea short ya umeme kwenye nyumba ya biashara,boss alitoka uchi wa mnyama ,baada ya pressure kushuka ndio mkewe akakumbuka yupo uchi""

Anasimulia mlipa kodi
 
Back
Top Bottom