Bookkeeping
Member
- Jun 6, 2025
- 75
- 169
Ndiyo wanaume tutafute mademu mbona wapo tu hata Huku JF wapo
Inasikitisha sanaMada gani hizi za fb sasa huu Uzi haueleweki
Ukumbuke una babu, bibi, baba na mama zako humu. JamiiForums ni tofauti kabisa na facebook au Tiktok. Kwa hiyo ujitahidi kidogo kutuletea mada zenye mafunzo.Ndiyo wanaume tutafute mademu mbona wapo tu hata Huku JF wapo
Hana akili ya kufanya prac huyoBaada ya kutoka kuomba msaada wa kumwaga lita kumi ya sparm leo tena nyeto
NB Nenda kamalizie mitihani huko wenzio bado wanafanya practical
Na kweli inawezekana kichwani ni empty set siyo kwa maada anazoziletaHana akili ya kufanya prac huyo
Duuuh kijana una wiki ujapiga nyeto sasa umeanza kuwasimanga wenzako
Ndiyo msimu wenyewe huu wa maembeHili litakuwa penzi jipya na vile vitoto vya "fomu foo" .
Wanasema,"Usidharau Nazi,embe ni tunda la msimu".
Msijali dogo mwenyewe. Ni huyu hapa na umri wakeNdiyo msimu wenyewe huu wa maembe
Kumbe unabishana na mtoto duuh hatari sanaMsijali dogo mwenyewe. Ni huyu hapa na umri wakeView attachment 3702894