Bookkeeping
Senior Member
- Jun 6, 2025
- 106
- 161
Ndiyo wapo wanalala kichele Yani uchiii
Hiyo tabia achenie mbona sisi tunalala na guo
Hiyo tabia achenie mbona sisi tunalala na guo
Na hili barlidi mkuu?Itakuwa wanatumika sana hvy wanaachia mwili upoe
Na hili barlidi mkuu?
Duh mimi nimeshazoea kulala naminguo yote!Si ndiyo hapo
Duh mimi nimeshazoea kulala naminguo yote!
Ndiyo wapo wanalala kichele Yani uchiii
Hiyo tabia achenie mbona sisi tunalala na guo
el nino...Topic za leo si wanawake si wanaume wote wamechizika, sijui mwezi mchanga?
Dasilamu...Mwanaume unalalaje uchi ukiingiliwa ndani na vibaka je Acheni izo vaa Ata bukta wadada ndo wanakula uchi washamba nyie
Mwanaume unalalaje uchi ukiingiliwa ndani na vibaka je Acheni izo vaa Ata bukta wadada ndo wanakula uchi washamba nyie
el nino...
Ku overthink tu shido Iko wapi makende yapumue baada ya heka heka za siku nzima
Je kuoga una oga na nguo ? ..wanao lala uchi si wanakuwa na shuka? Je wale wanao kwenda kuhiji makka wanakuwa wanajifunika shuka tu tena nje siyo chumbani ..hapo unasemajeNdiyo wapo wanalala kichele Yani uchiii
Hiyo tabia achenie mbona sisi tunalala na guo
Mimi huku mbeya ni barlidi mkuu nipo tu nje na type!!!Kumbe na wewe unalala uchi mkuu