its complicated......
ukiwauliza wadada wa kenya na uganda watakwambia wanaume wa tanzania ndo best.....
Mkuu DC kweli n imefuatilia huu mjadala na Nakubaliana na wewe kabisa hapo kwenye REDSaraM,
Unaona huo mkanganyiko?
Nadhani hilo ndilo linalowatatiza wengi....Kwamba awe msanii bila kujali kama anatimiza wajibu wake katika mambo mengine au awekeze rasirimali zake nyingi kwenye shughuli kwa kuongeza dose ya valuu na supu ya pweza???
Ni balance kiasi gani inatakiwa kati ya usanii wa kuzungu zungu na uafrika???
Ngomba bado mbichi!!
Kuna mambo basic ya kubalance kama kumwambia mwenza wako unampenda kila mara hii haiitaji uangalie tamthilia, maneno ya mapenzi wakati wa faragha au hata zawadi, tupilia mbali hayo maua ambayo ndio usanii wa kizungu na kupiga magoti kuomba kumuoa mtuSaraM,
Unaona huo mkanganyiko?
Nadhani hilo ndilo linalowatatiza wengi....Kwamba awe msanii bila kujali kama anatimiza wajibu wake katika mambo mengine au awekeze rasirimali zake nyingi kwenye shughuli kwa kuongeza dose ya valuu na supu ya pweza???
Ni balance kiasi gani inatakiwa kati ya usanii wa kuzungu zungu na uafrika???
Ngomba bado mbichi!!
Kuna wanaoangalia hizo pesa na wengine pesa hazina mpango wao ni penzi tu, ssa huyu usipompa kausanii kidogo imekula kwkowadada wa Zambia, Congo na Rwanda pia wanasema wanaume wa tanzania ndo best
sababu kubwa wanajua kuhudumia(financially) ukilinganisha na wa kwao ambao husisitiza ku-share cost kwenye mitoko,kuhudumia familia n.k
Mkuu hii mada ina complication yake ambayo ni ngumu sana...!Jana nimesoma makala ya Freddy Macha kwenye gazeti la Mwananchi iliyokuwa inaongelea mijadala inayoendelea kwenye mitandao mbali mbali ikieleza kuwa wanaume wa Kitanzania (na labda Waafrika wote) hatujui mahaba (romance)!
Nimeguswa sana na makala hiyo. Si kwa sababu napingana na hoja za hao wanaosema hivyo, bali nina wasi wasi kwamba vigezo vinavyotumiwa vinaweza kuwa siyo sahihi.
Inawezekana hii mada ilishajadiliwa hapa pia, ila naomba tu kupata maoni ya wadau wa jukwaa letu hili tukukufu kuhusiana na issue hii.
1. Ni kweli wanaume wa Kitanzania hawajui mahaba??
2. Kama hawajui, ni kosa lao peke yao au na wenzi wao (wanawake)???
3. Na vigezo gani vinatumiwa ku-judge kama mtu anajua mahaba au la?
Naomba maoni yenu!!
Babu DC
Mkuu hii mada ina complication yake ambayo ni ngumu sana...!
Suppose your GF/BF told you that "you are so hot"....! Or "you are so tight"....! Definitely these are encouraging words, and some of the words most of us do want to here from their partners...! But, if you try to take a little bit time to think on this, there must be a hided thought...! Because if you are hot, would you ask that you are hot in relation to whom? To whom comparison did your partner make with you to justify that you are so tight?
Kwa hiyo kwa mtazamo wangu, pamoja na vitu vingine, akishasema hivyo, basi ni muhimu angesema wanaume wa Kitanzania amewalinganisha na wanaume wa nchi zipi....! Na kama ni wanaume kutoka kila nchi duniani, basi yeye mwenyewe hafai tena, na ni vema pia akasema basi wanaume hao wa Kitanzania wameshikilia nafasi gani duniani, nchi gani ni ya kwanza, na ipi ya mwisho....!
NB: Tafadhalini sana, sio kila sifa hutolewa...! Maana waweza kuulizwa maswali usiyaweza kujibu...!
Hili sredi sijui limeshafikia tamati au bado linaendelea.
Sijui ODM alikuwa wapi likampitia yailahi toba.
Mwenye kujua kama ODM anajua kufanya Romance ni mama Matesha. Huyo anayejenerolaizi kwa watanzania alishamegwa na vijana wote wa kitanzania? Mzee mwenzangu hebu naomba umuulize huyo mtu. Mie sina contacts zake!
Mhhhh,
Ila inawezekana vijana wa siku hizi ni wajasiriamali wa kutisha kiasi kwamba wamesha-sample mataifa ya kutosha...Vinginevyo hata mimi nashindwa kuelewa bench mark yao wameitoa wapi!
Ila nahofia kujitetea sana kwani wanaoweza kutututetea ni wale ambao tumedumu nao hadi tunaanza kutegemea mikongojo. Kama wameamua kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili siku ziende...hilo hata sijui!
Sasa ndio hapo unajikuta mwenzio anakuambia "naniiii yako ni nzuri/tamu sana...." Je, ukimuuliza ni ya nani sio tamu atakuambia? Au atakuacha tu na maswali yako.....? Je, nini mwisho wa situation kama hiyo?Wale wa enzi zetu, tulifundishwa kukwepa sana hayo maswali......Ndo maana hata mautundu ya mitaani ilikuwa nadra sana kuyahamishia nyumbani!
Kuna wanaoangalia hizo pesa na wengine pesa hazina mpango wao ni penzi tu, ssa huyu usipompa kausanii kidogo imekula kwko
Pamoja kwamba hatupendi kuiga mamo ya wenzetu, ila mwaanaume akuonyeshe walau anakujali sana, anakupenda sana, na akwambie kabisa, akuhakikishie uko secure, sasa wanaume wengine wa kibongo anakupenda sana tu, ila hawezi hata kukuonyesha hayo mapenzi au kukwambia, yaani mnaenda kibubu bubu tu, kwa kweli hiyo inachosha, ni bora hata yule anayeiga na kukudanganya kitamthiliathilia, kwanza mapenzi bila kudanganyana kidogo wala hayanogi
But stil napenda sana mwanaume rijali wa kitanzania anayejua nini anafanya kuhakikisha nakuwa happy, na mie pia
SaraM.......hun hapo kwenye kuonyesha ndio panapokanganya watu. Mapenzi yanaonyeshwaje ili mwenzio umdefine kama romantic? Maana kwa mwengine akipigwa ndo kaonyeshwa mapenzi lol, akionyeshwa wivu basi anapendwa lakini hivi ndo vigezo vya u-romantic wa mwanaume?
Mzee DC leo, umenichosha akili yangu kungali asubuhi
Naamini leo kitaeleweka.....
Halafu tatizo linakuja pale ambapo tunaelezwa kuwa hatujui lakini wale tunaonana nao mara 2 kwa mwaka wanatuganda na kuhangaika ili walau tuongeze frequency!!
Nikipata nauli nitaenda kumuuliza bibi yangu mzaa mama ili walau nipate version yake...Hizi za watu wa luninga na tamthilia zimenipita kando!
romantic// kila mwanadamu ana romantic yake, kamwe hatutaweza kulinganisha,
ni mtu mwenyewe kumsoma mwenza wake na kujua anachotakiwa kumfanyia basi.
Hahahahha Mzee DC hapa lazima nikudongoe.......ezoefu unaonyesha kuwa kwa hawa mnaokutana nao mara chache huwa mnajitahidi/wanajitahidi kuperform extras kwa kila nyanja so kama ndo mromantic basi anakuwa mromantic mara dufu ilihali kule kwa kila siku mnakuwa nusu . Ndio maana wanawaganda bwana.
We fikiria kule ukimaliza kazi unaogesha kabisa na sifa kibao, ilhali kwa kila siku hata aksante hutoi. lazima uonekane romanticless bana lol
Labda tungewezalinganisha wakati wa mwanzo wa mahusiano kama mto anakuwa romantic na kupunguza zkishaoa au inamaanisha hata wakati wa mwanzo bado romanticism ni zero!
BiShanga mliambiwa mlambe nini ulichokikataa? :]
Huko sahihi kabisa ndugu Ikunda,
Sasa hizi lawama za hawa wanaweza na wale hawawezi zinatokea wapi??? Kama ni kwenye luninga kwa nini hao wanaolaumu wasijue kuwa zile ni fix tu za kunogesha usanii?
Na pia mbona wanawake walioolewa na wazungu nao wana malalamiko yao??
Bado hakijaeleweka kwa kweli!!
Eh? Kikwapa? Bishanga? lolK!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!