Ila kinachoumia hasa ni nyuchi zao mpaka kupata hayo magari mazuri.Sikuhiz hao wanawake, wengi wao wanaendesha magari mazuri kuliko wanaume.View attachment 2650853
Hi tabia imehamia vyuoni, vijana wakishaingia chuo wanapiga chini nyimbo zote za kiswahili wanaanza kufagilia nyimbo za kizungu~UkengeushiWabongo wana imani za ajabu sana, nakumbuka miaka ile bongo fleva inaanza kuchomoza kuna wajinga wakiona unasikiliza wabana pua wanakuambia ni mziki wa kike, wanasema mwanaume anasikiliza hip-hop
Mkuu we wakike au wakiume (samahani lakini kwa swali) maana hata wananinunua dildos au robot wives)wananunua kwa hela zao pia 😎si umenunua kwa hela yako uliyotafuta mzee
mi ni mwanaume..... na hapo ndio point yangu kwamba tusipangiane cha kununua kama hela ni yangu.Mkuu we wakike au wakiume (samahani lakini kwa swali) maana hata wananinunua dildos au robot wives)wananunua kwa hela zao pia 😎
Hapana sa kama mwanaume unaulizia za nini (jokes)unauza hizo dildos ?
nimeuliza kama wewe ni MuuzajiHapana sa kama mwanaume unaulizia za nini (jokes)
Samahani mkuu mfani mbaya
Sio wote man so usikariri, wengine wana run business zao wenyewe. Kama huyo nilieattarch picha yake hapo.Ila kinachoumia hasa ni nyuchi zao mpaka kupata hayo magari mazuri.
Wanapitia mengi.
OkSio wote man so usikariri, wengine wana run business zao wenyewe. Kama huyo nilieattarch picha yake hapo.
Rafiki yangu aNauza, sister unataka sample gani (size)nimeuliza kama wewe ni Muuzaji
nilitaka nikununulieRafiki yangu aNauza, sister unataka sample gani (size)
Cc Accumen MoLang Hilo hapo chini Sasa nambie la kike au kiumeView attachment 2650828
Unafikiri hizo gari ni sawa na map..umb..u kila mwanaume awe nayo😀 sounds good kuona mwanaume anapush land lover discovery vogue Audi na land cruiser version yoyote tena manual.
Hivi vi auto auto vingi vya wadada😀😀
Sasa habari za pumbu zinatoka wapi? Mimi nimetoa maoni yangu Sasa kama unaona maoni yangu ni mapumbu haya🙏😀Unafikiri hizo gari ni sawa na map..umb..u kila mwanaume awe nayo
Hata ukiwaza kwa kutumia makalio tu mkuu...Nadia ni gari ya kiume kweli!!?Bongo haiishiwii comedy, infact Bongo ni Bongo Movie.
Vijana wameisha brand magari kama Dualis, Murano, IST, RAV4, etc kama magari ya wanawake.
Pickup, harrier, vangaurd, x-trail, etc ndio za kiume.
Unakuta mtu anasema "sasa mwanaume ataendashaje IST au Dualis"
Alafu kuna mtu unakuta na yeye anababaika eti anunui gari ambayo ameipenda eti kisa watamsema kuwa anatembelea gari ya kike.
Kupambana na fikra za jamii duni ni ngumu sana, wataanza kuja na sababu mia nne kwa nini mwanaume asitembelee dualis wakati japan wanaume wanazitembelea kama wote.
Range rover sport ishakua ya kidem pia.Kwenye magari ya kiume mbona hujaweka (land cruiser V8, Range rover sports, lexus lc300,) 🤔 au haya ni ya nani