spectator Ion
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 350
- 374
Sema Nissan juke la kike bwana.. hips ka zote[emoji23]
For realMimi nilichogundua, Watanzania wengi wanapenda kuishi kwa kuangalia watu wanasemaje. Na hii imepelekea kubeza kitu cha watu, na wakati mwingine watu huingia hasara kisa vitu vyao vimebezwa.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
IST ni gari yangu hiyo mzee, na najivunia nayo kishenzi, mimi naishi kwa ajili yangu siishi kwa ajiri ya mtu.Mkuu umenunua ist nini,,,
Kwa hiyo sisi wenye passo tuweke wapi sura zetu, muhimu usafiri bhanaa.Bora hizo ila kale kadude passo daaaah
Hongera na big up mkuu achana na vijana wa mjiniIST ni gari yangu hiyo mzee, na najivunia nayo kishenzi, mimi naishi kwa ajili yangu siishi kwa ajiri ya mtu.
Mwanaume unavimbaje kwenye IST, PASSO, VITZ, RAV4(SHORT CHASSES)Bongo haiishiwii comedy, infact Bongo ni Bongo Movie.
Vijana wameisha brand magari kama Dualis, Murano, IST, RAV4, etc kama magari ya wanawake.
Pickup, harrier, vangaurd, x-trail, etc ndio za kiume.
Unakuta mtu anasema "sasa mwanaume ataendashaje IST au Dualis"
Alafu kuna mtu unakuta na yeye anababaika eti anunui gari ambayo ameipenda eti kisa watamsema kuwa anatembelea gari ya kike.
Kupambana na fikra za jamii duni ni ngumu sana, wataanza kuja na sababu mia nne kwa nini mwanaume asitembelee dualis wakati japan wanaume wanazitembelea kama wote.
Hahaaa, tumekusikia boss!Acha ujinga.kila nikipita gari ninalotembelea ,ndio naona wadada wanatembelea.hilo gari hata wiki haipiti nauza.Lazima uoneshe utofauti Pumbavu weeee
Hii numberplate imepigwa Photoshop.Sikuhiz hao wanawake, wengi wao wanaendesha magari mazuri kuliko wanaume.View attachment 2650853
Hayo ni ya viongozi na matajiri, na kwa jinsia zote.Kwenye magari ya kiume mbona hujaweka (land cruiser V8, Range rover sports, lexus lc300,) [emoji848] au haya ni ya nani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subaru ni gari ya kiume, ila ukikuta mwanamke anaendesha inaonekana sexy.....
Mwanaume ukiendesha passo unakaa kirembo jamani
Na Range pia gari ya kike full stopBongo haiishiwii comedy, infact Bongo ni Bongo Movie.
Vijana wameisha brand magari kama Dualis, Murano, IST, RAV4, etc kama magari ya wanawake.
Pickup, harrier, vangaurd, x-trail, etc ndio za kiume.
Unakuta mtu anasema "sasa mwanaume ataendashaje IST au Dualis"
Alafu kuna mtu unakuta na yeye anababaika eti anunui gari ambayo ameipenda eti kisa watamsema kuwa anatembelea gari ya kike.
Kupambana na fikra za jamii duni ni ngumu sana, wataanza kuja na sababu mia nne kwa nini mwanaume asitembelee dualis wakati japan wanaume wanazitembelea kama wote.
Imebidi nikaligoogle....nimecheka 🤣🤣🤣Sema Nissan juke la kike bwana.. hips ka zote[emoji23]
si umenunua kwa hela yako uliyotafuta mzeeMwanaume unavimbaje kwenye IST, PASSO, VITZ, RAV4(SHORT CHASSES)