Eti Bongo kuna magari ya kike na ya kiume

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,748
Bongo haiishiwii comedy, infact Bongo ni Bongo Movie.

Vijana wameisha brand magari kama Dualis, Murano, IST, RAV4, etc kama magari ya wanawake.

Pickup, harrier, vangaurd, x-trail, etc ndio za kiume.

Unakuta mtu anasema "sasa mwanaume ataendashaje IST au Dualis"

Alafu kuna mtu unakuta na yeye anababaika eti anunui gari ambayo ameipenda eti kisa watamsema kuwa anatembelea gari ya kike.

Kupambana na fikra za jamii duni ni ngumu sana, wataanza kuja na sababu mia nne kwa nini mwanaume asitembelee dualis wakati japan wanaume wanazitembelea kama wote.
 
Ogopa Jeshi la Watu wajinga.
 
Aliyesababisha ni Jinga Bashite!
 
Acha ujinga.kila nikipita gari ninalotembelea ,ndio naona wadada wanatembelea.hilo gari hata wiki haipiti nauza.Lazima uoneshe utofauti Pumbavu weeee
Kwenye Nchi zetu hizi ambazo hazina magari mtasema haya nenda JHB uone wadada wanasukuma Velar ya 2023 au Landrover ya 2023 sema kukosa choice ya magari mengi mnadhani pana magari special ya jinsia na mnadanganyana hivyo hata wasio na uwezo wanatafuta magari ambayo hawawezi kuyamudu ni nyumbani na mjini anapaki nunua gari kutokana na choice yako na uwezo wako sio kelele za watu..itafika muda hilo gari unalolitaka utatembelea tuu.
 
Lang Hilo hapo chini Sasa nambie la kike au kiume
IMG-20230608-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom