Eti Bongo kuna magari ya kike na ya kiume

Eti Bongo kuna magari ya kike na ya kiume

It's all about choice of preference. Nanunia gari kutokana na mahitaji ninayoyataka na sifa za gari husika, sinunui kisa eti gari flani inatumiwa na wadada wengi.
 
 
Bongo haiishiwii comedy, infact Bongo ni Bongo Movie.

Vijana wameisha brand magari kama Dualis, Murano, IST, RAV4, etc kama magari ya wanawake.

Pickup, harrier, vangaurd, x-trail, etc ndio za kiume.

Unakuta mtu anasema "sasa mwanaume ataendashaje IST au Dualis"

Alafu kuna mtu unakuta na yeye anababaika eti anunui gari ambayo ameipenda eti kisa watamsema kuwa anatembelea gari ya kike.

Kupambana na fikra za jamii duni ni ngumu sana, wataanza kuja na sababu mia nne kwa nini mwanaume asitembelee dualis wakati japan wanaume wanazitembelea kama wote.

Au mwanaume anaendeshaje! vitz afu anashusha vioo
 
Sasa mwanaume unaendesha vp gari linaitwa NADIA
 
Back
Top Bottom