Kabisa. Mimi ndiyo maana naunga mkono waarabu wa bandari wakazie palepale.
Ni kweli hata mimi ziwez nunua passo ila sio kwa sababu eti inapaswa kuendeshwa na wanawake.Hahaha japo sina gari ila passo hata Kwa laki tano sinunui bora nipigie valuer
Hahaa jamaa kanichekesha kweli hahahaha[emoji3][emoji3]
Ni kweli hata mimi ziwez nunua passo ila sio kwa sababu eti inapaswa kuendeshwa na wanawake.
Ni kwasababu sipendi muundo wake.
Mi IST nikipata hela nitaanza nayo! Siwezi tunisha msuli wakati mambo magumuNi kweli hata mimi ziwez nunua passo ila sio kwa sababu eti inapaswa kuendeshwa na wanawake.
Ni kwasababu sipendi muundo wake.
Lina matiti na wowowowo kwa nyuma!! Masikini hatujawahi ishiwa wivu!!!vanguard ni la kike pia
HahahahaahahahahhahahahahahhahahahahahahahahahayyahLina matiti na wowowowo kwa nyuma!! Masikini hatujawahi ishiwa wivu!!!
Achana na wabongo fanya vya uwezo wako.Mi IST nikipata hela nitaanza nayo! Siwezi tunisha msuli wakati mambo magumu
Passo sio gari, ni shopping trolley za kwenye supermarket za Mars!! Ahahahahhahahah[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23]Subaru ni gari ya kiume, ila ukikuta mwanamke anaendesha inaonekana sexy.....
Mwanaume ukiendesha passo unakaa kirembo jamani
X trail hipi wewe unazungumzia?? Labda za below 2015X-Trail weka ya kike hapo.
Yaani wabongo ni watu wa ajabu sana, na ukiwaendekeza hakuna kitu utafanikiwa. Ndo maana wengi wanafeki maisha ili tu kuridhisha watu na imani zao za kijingaWabongo wana imani za ajabu sana, nakumbuka miaka ile bongo fleva inaanza kuchomoza kuna wajinga wakiona unasikiliza wabana pua wanakuambia ni mziki wa kike, wanasema mwanaume anasikiliza hip-hop
Kabisa nduguYaani wabongo ni watu wa ajabu sana, na ukiwaendekeza hakuna kitu utafanikiwa. Ndo maana wengi wanafeki maisha ili tu kuridhisha watu na imani zao za kijinga
😅😅😅passo hapana aiseGari ni gari mkuu hakuna la kiume wala la kike..
Ila libaba kuchomoka ndani ya PASSO , sirikali iliangalie hili😄😄😄😄😄
Bora hizo ila kale kadude passo daaaah😅😅😅passo hapana aise
Ist na run x ndio gari ndogo nzuri💥
Hapa kwetu Tena zote used(Mitumba)Bongo haiishiwii comedy, infact Bongo ni Bongo Movie.
Vijana wameisha brand magari kama Dualis, Murano, IST, RAV4, etc kama magari ya wanawake.
Pickup, harrier, vangaurd, x-trail, etc ndio za kiume.
Unakuta mtu anasema "sasa mwanaume ataendashaje IST au Dualis"
Alafu kuna mtu unakuta na yeye anababaika eti anunui gari ambayo ameipenda eti kisa watamsema kuwa anatembelea gari ya kike.
Kupambana na fikra za jamii duni ni ngumu sana, wataanza kuja na sababu mia nne kwa nini mwanaume asitembelee dualis wakati japan wanaume wanazitembelea kama wote.