TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 385
umeeleweka mkuuKasema nao...! Naona kuna walengwa wake humu![]()
![]()

Sampuli za CBE haziwezi kunipiga kibuti mimi.
To them I am the greatest thing since sliced bread.
We're talking about levels here now.....remember that.
Kwanza walianza kumpiga mizinga siku ya kwanza tu....then akagundua ni mizigo kichwani weupe....sasa kali kuliko zote wanatishia kumroga awe zuzu asirudi hata kwenye box lake huko USA baby!!!
Nyani Ngabu hawa kuku wa kienyeji tuachie wenyewe tunawamudu....jioni anarudi bandani kwanini uhangaike kufukuzana nae au kumpiga manati?
ha haaaaKweli watu wenye akili ndogo ni mzigo.
Na kupata mwenza mwenye akili ya kutosha (kwani si lazima upate mwenye akili kubwa) ni kazi sana.
Kwa mfano, hivi videmu vya CBE bana vina mashauzi sana. Nadhani vipo hapo CBE kwa sababu kiakili havina uwezo wa kumudu sehemu kama UDSM au SAUT.
Hivi hapo CBE ni dampo la waliopata divisheni 4 na 5? Manake vidada vya hapo kwa kujifanya vya viwango tu havijambo.
Kiingereza havijui lakini vinapenda kujifanya vinajua. Sijui nani kavidanganya kuwa ukiongea Kiswahili na kuchomekea chomekea Kiingereza chako cha kuunga unga ndo utaonekana wa kileo, kwamba unaenda na wakati....umestaarabika.
Nyambaaf kabisa.
Vingine kweli ni vizuri vya maumbo na sura lakini akili za darasani na hata zile za kawaida tu za kidunia havina. Mjini hapa vinaishi kwa kutegemea zaidi wanaume, tena kwa kiasi kikubwa tu.
Vichwa vyao havina kazi zaidi ya kushonea minywele bandia. Bure kabisa yaani.
Sina takwimu wala nini lakini pia sina shaka kuwa vimdada kama hivyo vinaongoza kwa mambo ya ushirikina. Kuna kimoja hicho kimediriki hadi kunitishia kuwa eti niwe mwangalifu...nitarogwa na wadada nishindwe hata kujielewa.
Kimdada kama hicho hata ukijaribu kukieleza kuwa hayo ni mambo ya usasili tu, ya kufikirika tu, ni ya kiimani tu....hakiwezi kukuelewa kwa sababu hakana ubongo wa kuweza kuchakata hoja zilizo za kinadharia zaidi.
Na ndo maana havijui hata tofauti ya kujua na kusadiki au uhalisia na imani.
Yaani mimi huyu huyu nirogwe? Hahahaaa hivi vimdada bana....huko CBE naona vinafundishwa ujinga tu.
we shupaza shingo tu!Sirogeki mimi wewe....na uchawi haupo.
we shupaza shingo tu!
kwa imani yangu naamini wachawi wapo ila siwaogopi kwani imani yangu inasema Mungu akiwa upande wako hakuna aliye juu yako.Unaamini na kuogopa uchawi?
Okey vema....kwa imani yangu naamini wachawi wapo ila siwaogopi kwani imani yangu inasema Mungu akiwa upande wako hakuna aliye juu yako.
Aiseee nilikuwa naheshimu wakongwe ila kwa mwendo huuu ngoja niende zangu kwa makapuku tyuuu.nilidhani kuishi USA mtu unakuwa na busara kumbe nilikuwa najidanganya.Sampuli za CBE haziwezi kunipiga kibuti mimi.
To them I am the greatest thing since sliced bread.
We're talking about levels here now.....remember that.
Biblia na uchawi vyote ni masimulizi ya kufikirika tu.
Hv mtu mwenye akili nyingi huwa anakuwaje?.maana watu wa university huwa wanafikili kufika huko ndio akili.mtu unasoma mpaka university kwa kukalilishwa.hebu jiulize kitu kimoja tu.kwa nn ndoa za wasomi weng zina mushkel kuliko za masikin?.yote hayo nikutokana na kuleta usomi kwenye vitu visivyo vya kisomi.uchawi upo na utaendelea kuwepo.na hapo Ndio nimegundua university yako aikusaidii chochote.umebakia kukalilishwa tu nàwaalimu wenu.usiwe mvivu wa kusoma vitabu mbalimbali.pusi wewe na university yako ya kununua
CBE chuo cha waliopata 4,5,0 karibia wote, msibishe nina ushahidi wa mtu aliyepata 0.
Duh nyani hii kama ngonjera au shairi lisilo na vina. Nimependa mtiririko wako wa hadithi. Tengeneza nyingine iwe na stanzas halafu uone kama haitatoka kwenye A level next year. Big up bor.Kweli watu wenye akili ndogo ni mzigo.