Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,497
- 119,421
Kweli watu wenye akili ndogo ni mzigo.
Na kupata mwenza mwenye akili ya kutosha (kwani si lazima upate mwenye akili kubwa) ni kazi sana.
Kwa mfano, hivi videmu vya CBE bana vina mashauzi sana. Nadhani vipo hapo CBE kwa sababu kiakili havina uwezo wa kumudu sehemu kama UDSM au SAUT. Hivi hapo CBE ni dampo la waliopata divisheni 4 na 5? Manake vidada vya hapo kwa kujifanya vya viwango tu havijambo.
Kiingereza havijui lakini vinapenda kujifanya vinajua. Sijui nani kavidanganya kuwa ukiongea Kiswahili na kuchomekea chomekea Kiingereza chako cha kuunga unga ndo utaonekana wa kileo, kwamba unaenda na wakati....umestaarabika.
Vingine kweli ni vizuri vya maumbo na sura lakini akili za darasani na hata zile za kawaida tu za kidunia havina. Mjini hapa vinaishi kwa kutegemea zaidi wanaume, tena kwa kiasi kikubwa tu.
Vichwa vyao havina kazi zaidi ya kushonea minywele bandia. Bure kabisa yaani.
Sina takwimu wala nini lakini pia sina shaka kuwa vimdada kama hivyo vinaongoza kwa mambo ya ushirikina. Kuna kimoja hicho kimediriki hadi kunitishia kuwa eti niwe mwangalifu...nitarogwa na wadada nishindwe hata kujielewa.
Kimdada kama hicho hata ukijaribu kukieleza kuwa hayo ni mambo ya usasili tu, ya kufikirika tu, ni ya kiimani tu....hakiwezi kukuelewa kwa sababu hakana ubongo wa kuweza kuchakata hoja zilizo za kinadharia zaidi.
Na ndo maana havijui hata tofauti ya kujua na kusadiki au uhalisia na imani.
Yaani mimi huyu huyu nirogwe? Hahahaaa hivi vimdada bana....huko CBE naona vinafundishwa ujinga tu.