Eti ananitishia ushirikina

Eti ananitishia ushirikina

Mkuu, nimeanza kuona jina lako nilitegemea utakuwa ni mtu mpole, mtaratibu kumbe sivyo. Kila jukwaa hapa jf nikikuta post au comment zako mara zote hunipa maswali mengi sana. Kama ni matusi wewe ndo unajua kutukana, kama ni maneno machafu basi wewe hukutoka haswa. Huna staha yoyote, ila naomba sana kaka Nyani Ngabu punguzo maneno makali pindi unapomjibu mtu hata kama atakuwa amekuudhi maana tunatofautiana kimitazamo. Heshima yako ni kubwa sana hapa jf, hivyo usiivunje kwa sababu ya watu wachache wanaokukera.
 
Anayeamini uchawi ndo anarogwa ila kama huna hiyo imani kama mm hata uniroge mara mia , na mwisho unanyoosha mkono,na kusema nimeshindwa
 
CBE chuo cha waliopata 4,5,0 karibia wote, msibishe nina ushahidi wa mtu aliyepata 0.
mhh pale wanapokea wanafunzi wenye kuanzia ufaulu wa D 3 na kuendelea kwa level ya diploma
na D 5 kwa level ya bachelor.sasa wewe kusema zero ameingia chuo pale utakua umekosea sana
tuonyeshe ushahidi huo kama hutajali
 
Nyani ngabu sorry for saying this mada yako uliyoleta jukwaani leo siyo siri unakidhalilisha chuo na kupotosha umma
huyo uliyokutana nae kama ni kilaza usiconclude kuwa ni wote chuo kizima wako hivyo unakosea sana
pale kuna watu wenye uwezo mkubwa tu na wanajielewa, eti pale wanafundishwa ujinga this is bullshit
kwahiyo huko vyuo vingine hamna vilaza?
BTW iman ya ushirikina na ya mtu binafsi wala siyo ya chuo na kule hawafundishwi uchawi (my thought)
 
mhh pale wanapokea wanafunzi wenye kuanzia ufaulu wa D 3 na kuendelea kwa level ya diploma
na D 5 kwa level ya bachelor.sasa wewe kusema zero ameingia chuo pale utakua umekosea sana
tuonyeshe ushahidi huo kama hutajali
Hizo D 5 za kuingilia bachelor ni za kutoka ngazi ipi? Maana A-level masomo ni matatu. Sasa D5 inakuwaje?
 
CBE, magogoni, na vyuo vingine vinavyofanana na hivyo navyo ni majipu. Serikali ingevifutilia mbali ibaki VETA. Vinazalisha wajinga na wasiojielewa. Wasichana wanajifunza kujizuia kupitia hivyo vyuo....
Hata mfumo wa ufundishaji katika hivyo vyuo haujakaa sawa.
uliwahi kusoma hapo ama kinakuwasha tu
 
Nyani Ngabu;
Na weye ulivyo na majidai yako. Ngoja siku unakutana na Mnyiramba umwagie uchaf wako uache kumlipa ndo utakuja hapa ukilia kuomba msaada.
Hulogeki weye nnani? Mnyramba anakutosha weye. Jatibu uone kwa mnyiramba wasingida. Hakikisha una mtu chumbani akumwagie maji ya kuzinduka utakapozimia. Hata miye nlikuwa gaidi ka weye lakini kwa hao nimepoa
 
Wengi wenu mliosoma hapo na wanaoendelea kusoma hapo ni vilaza.
OMBA RADHI KIJANA... WALIOSOMA PALE NDIO WANAUJUA MZIKI WAKE.. HAO VINUKA MKOJO WANAOKUUNGA MKONO HUMU NI WALE WAPUUZI NA MALAYA WANAOKUSHOBOKEA
 
Teh Teh muone haraka mashana jr akupe dawa kabla ujarogwa...!

Kusema ukweli wasichana walio wengi wanategenea sana ushirikina kwenye mahusiano..
Asilimia kubwa na hivi hali imebanwa na waganga wamekuwa wakitumia fursa kuwagegeda wakiwadaganywa ili wampumbaze mwanaume mganga apake dawa kwenye gegedo
 
Kwa Mara ya kwanza sijakuelewa, sidhani kama ni busara kusema aina Fulani wako hivi kisa tu mmojawapo yupo hivyo.
Anyway siku hazifanani...
 
Maneno ya mkosaji kalusha ndoano watu awajamshobokea ndio maana povu linamtoka .MANENO YAMKOSAJI ayo
 
Kweli watu wenye akili ndogo ni mzigo.
Na kupata mwenza mwenye akili ya kutosha (kwani si lazima upate mwenye akili kubwa) ni kazi sana.

Kwa mfano, hivi videmu vya CBE bana vina mashauzi sana. Nadhani vipo hapo CBE kwa sababu kiakili havina uwezo wa kumudu sehemu kama UDSM au SAUT. Hivi hapo CBE ni dampo la waliopata divisheni 4 na 5? Manake vidada vya hapo kwa kujifanya vya viwango tu havijambo.

Kiingereza havijui lakini vinapenda kujifanya vinajua. Sijui nani kavidanganya kuwa ukiongea Kiswahili na kuchomekea chomekea Kiingereza chako cha kuunga unga ndo utaonekana wa kileo, kwamba unaenda na wakati....umestaarabika.

Vingine kweli ni vizuri vya maumbo na sura lakini akili za darasani na hata zile za kawaida tu za kidunia havina. Mjini hapa vinaishi kwa kutegemea zaidi wanaume, tena kwa kiasi kikubwa tu.
Vichwa vyao havina kazi zaidi ya kushonea minywele bandia. Bure kabisa yaani.

Sina takwimu wala nini lakini pia sina shaka kuwa vimdada kama hivyo vinaongoza kwa mambo ya ushirikina. Kuna kimoja hicho kimediriki hadi kunitishia kuwa eti niwe mwangalifu...nitarogwa na wadada nishindwe hata kujielewa.

Kimdada kama hicho hata ukijaribu kukieleza kuwa hayo ni mambo ya usasili tu, ya kufikirika tu, ni ya kiimani tu....hakiwezi kukuelewa kwa sababu hakana ubongo wa kuweza kuchakata hoja zilizo za kinadharia zaidi.
Na ndo maana havijui hata tofauti ya kujua na kusadiki au uhalisia na imani.

Yaani mimi huyu huyu nirogwe? Hahahaaa hivi vimdada bana....huko CBE naona vinafundishwa ujinga tu.[/QUOT
JF inaraha sana
 
Yaani mimi huyu huyu nirogwe? Hahahaaa hivi vimdada bana....huko CBE naona vinafundishwa ujinga tu.
Uko katika mchakato wakutafuta jiko nini NN?! Naona post zako zimefululiza ni wadada wa bongo tu this time. Nimewaza tu usinipe za uso hahaha!
 
Nyani Ngabu;
Na weye ulivyo na majidai yako. Ngoja siku unakutana na Mnyiramba umwagie uchaf wako uache kumlipa ndo utakuja hapa ukilia kuomba msaada.
Hulogeki weye nnani? Mnyramba anakutosha weye. Jatibu uone kwa mnyiramba wasingida. Hakikisha una mtu chumbani akumwagie maji ya kuzinduka utakapozimia. Hata miye nlikuwa gaidi ka weye lakini kwa hao nimepoa

Man get the hell on with that bullshit.

That shit don't work nowhere.
 
Uko katika mchakato wakutafuta jiko nini NN?! Naona post zako zimefululiza ni wadada wa bongo tu this time. Nimewaza tu usinipe za uso hahaha!

Naaah....nitafute jiko kwa wanuka kwapa?

Ain't no snowball's chance in hell.....
 
Back
Top Bottom