Eti ananitishia ushirikina

Eti ananitishia ushirikina

KIJANA ACHA DHARAU KIJANA ETI CBE NI DAMPO LA DIV 4 NA 5.WATU TUMESOMA NA TUNAENDELEA KUSOMA HAPO NA KAZI TUNAZO TENA NZURI.NA CHANGAMOTO ZOTE ZA KAZINI TUNAPAMBANA NAZO KAMA WENGINE.acha dharau kama huna la kuongea lala mbele
 
CBE chuo cha waliopata 4,5,0 karibia wote, msibishe nina ushahidi wa mtu aliyepata 0.
SASA KIJANA USHAHIDI WA MTU MMOJA NDO CHUO KIZIMA? KWANI HUKO UDSM NA SAUT MZUMBE HAKUNA WALIOPATA 0? ELIMU YAKO HAIJAKUKOMBOA WEWE.
 
KIJANA ACHA DHARAU KIJANA ETI CBE NI DAMPO LA DIV 4 NA 5.WATU TUMESOMA NA TUNAENDELEA KUSOMA HAPO NA KAZI TUNAZO TENA NZURI.NA CHANGAMOTO ZOTE ZA KAZINI TUNAPAMBANA NAZO KAMA WENGINE.acha dharau kama huna la kuongea lala mbele

Wengi wenu mliosoma hapo na wanaoendelea kusoma hapo ni vilaza.
 
Umechanganya mambo mawili hapo mkuu. Huyo dada aliyezingua na hiko chuo, hapo kwenye kutaja chuo patakuletea shida. We ngoja wataibuka sasa hivi....
tatizo mtoa mada hajui kupangilia maneno .... hivi kweli CBE na ako kademu kanakomtishia kurogwa vina uhusiano upi?
 
tatizo la bongo usiposoma udsm unaonekana wewe ni kilaza sijui sisi tuliosoma university iliyoko sinza tunaonekanaje.
 
tatizo la bongo usiposoma udsm unaonekana wewe ni kilaza sijui sisi tuliosoma university iliyoko sinza tunaonekanaje.
ACHANA NAO NA FIKRA ZAO MGANDO,WAMEKALILI HAO WEWE PIGA KAZI SONGESHA MAISHA NA FAMILIA.
 
CBE nacho ni chuo, kabisa unampeleka mwanao pale!
Bora akasomee Kwenye Teachers College yoyote awe mwalim tu, nijue moja
 
rais wa bolivia kasema nchi lazima iendele maana hakuna namna
 
Back
Top Bottom