Eti ananitishia ushirikina

Eti ananitishia ushirikina

Kweli watu wenye akili ndogo ni mzigo.
Na kupata mwenza mwenye akili ya kutosha (kwani si lazima upate mwenye akili kubwa) ni kazi sana.

Kwa mfano, hivi videmu vya CBE bana vina mashauzi sana. Nadhani vipo hapo CBE kwa sababu kiakili havina uwezo wa kumudu sehemu kama UDSM au SAUT. Hivi hapo CBE ni dampo la waliopata divisheni 4 na 5? Manake vidada vya hapo kwa kujifanya vya viwango tu havijambo.

Kiingereza havijui lakini vinapenda kujifanya vinajua. Sijui nani kavidanganya kuwa ukiongea Kiswahili na kuchomekea chomekea Kiingereza chako cha kuunga unga ndo utaonekana wa kileo, kwamba unaenda na wakati....umestaarabika.

Vingine kweli ni vizuri vya maumbo na sura lakini akili za darasani na hata zile za kawaida tu za kidunia havina. Mjini hapa vinaishi kwa kutegemea zaidi wanaume, tena kwa kiasi kikubwa tu.
Vichwa vyao havina kazi zaidi ya kushonea minywele bandia. Bure kabisa yaani.

Sina takwimu wala nini lakini pia sina shaka kuwa vimdada kama hivyo vinaongoza kwa mambo ya ushirikina. Kuna kimoja hicho kimediriki hadi kunitishia kuwa eti niwe mwangalifu...nitarogwa na wadada nishindwe hata kujielewa.

Kimdada kama hicho hata ukijaribu kukieleza kuwa hayo ni mambo ya usasili tu, ya kufikirika tu, ni ya kiimani tu....hakiwezi kukuelewa kwa sababu hakana ubongo wa kuweza kuchakata hoja zilizo za kinadharia zaidi.
Na ndo maana havijui hata tofauti ya kujua na kusadiki au uhalisia na imani.

Yaani mimi huyu huyu nirogwe? Hahahaaa hivi vimdada bana....huko CBE naona vinafundishwa ujinga tu.
Kaka uchawi upo,una nguvu na unawadhuru watu wengi tu ila chamsingi unatakiwa kujifariji na kujipa moyo kua wewe binafsi hautokudhuru,
Ila kaa ukijua kua hapa duniani kila mtu anaweza akarogwa au kudhurika na uchawi kwa aina yyte ile kwa hyo hayo maneno ya huyo bidada usiyachukulie poa na kuyapuuza.
 
Hahahaaa nyani ngabu leo umetoa mpya sio cbe tu bana hata hivyo vingine ni hivyo hivyo tu mkuu
Kwanza umedharau walimu wote wa cbe kitu ambacho sio sawa sijasoma hapo lakini sio sawa nyani ngabu
 
Nyani Ngabu;
We don't scare the crow by just screaming. Why don't yu try them? Remember to bring the feed back to us here on jf.

I've offered myself for anybody to put a hex on me for years now.

And guess what...I'm still here.

So obviously that shit don't work.
 
I've offered myself for anybody to put a hex on me for years now.

And guess what...I'm still here.

So obviously that shit don't work.


Nyani Ngabu;
Yu nyani ngabu. I have just told yu. Do not offer yourself as a sheep, no, offerings do not offer themselves. Jaribu kuwachezea hao nilokuambia. Jaribu mdanganye kuwa Am going to marry yu. Go visit her parents and lay her and shit her. That is when yu will tell us that yu are not afraid of that what yu call shit. That is how yu will know whether that shit works or not.
 
Nyani Ngabu;
Yu nyani ngabu. I have just told yu. Do not offer yourself as a sheep, no, offerings do not offer themselves. Jaribu kuwachezea hao nilokuambia. Jaribu mdanganye kuwa Am going to marry yu. Go visit her parents and lay her and shit her. That is when yu will tell us that yu are not afraid of that what yu call shit. That is how yu will know whether that shit works or not.

Hahahaaaa I'm shakin' in my Timberland boots.

I'm petrified.

Imma say it again...that shit don't work nowhere.
 
Back
Top Bottom