Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,175
- 143,963
- Thread starter
- #301
Kwasababu unaumwa.
Niache na huo ugonjwa wangu. Sitaki unisaidie...nasema sitaki. Niache kama nilivyo.
Kwasababu unaumwa.
hii thread bana....imeanza na issue very sensitive.......katikati ikaingia beef/saga ya lara 1 Dinazarde miss neddy ICHANA naona sasa hivi tunamalizia na Nyani Ngabu vs nameless girl
See... l told you.
Unahitaji dawa haraka sana.
Weee tunachangamsha jukwaaa ila hili seleka sijui labda wanataniana yaan ngoja nijisomee tu
Best mm nimefunga macho
Pita hivi============> twende zetu
Hicho kinukamkojo kinapenda sana kupata attention toka kwangu sijui kwa nini tu!
Ebana hebu nipe pointers za kuweza kuvifanya vi groupie kama hivi vikuache.....ntashukuru sana.
Maana hiki sasa kimekuwa ki pest!
Nisimuliege basii mimii
Achana na mimi. Jali ya kwako. Mimi sikuhusu wewe hata kidogo.
Mbona mgumu hivyo kuelewa wewe? Uko juha kama jiwe bana...khaaaa!
Attention ya Nyani. Try to be serious muda mwingine... attention yako!!!! We unadhani kila mdada humu ndani wako sawa na uliowazoea, attention yako wewe kwangu ni useless....
Kumbe samahani Nameless muache mwenzio
Nipo makini u know nacheki hii movie nani ataomba poo
Sasa mimi na wewe nani mgumu kuelewa?? Hujioni ulivyo JUA kikongwe!!!!
Sasa kwa nini unanifuata fuata ilhali nimeshakwambia achana na mimi?
Nini katika maneno 'achana na mimi' ambacho huelewi?
Achana na mimi la sivyo unataka attention yangu, period, end of sentence!
Just leave me the eff alone. Will you?
Just mind your own business and let me be.
Hata kama mi ni kibabu, kikongwe, wewe niache tu huo uzee wangu. Mbona huelewi...?
Na wewe si uache kujibu, mbona bichwa lako gumu kusolve vitu vidogo kama ivi!!!
unachochea moto!
Ivi meno bado unayo? ama ushakua kibogoyo!!!
Nipo makini u know nacheki hii movie nani ataomba poo
Nooo mkuuu
Mm sipend ugomvi
Na hawa cjui ni jokes au wapo serious ndo mana nasubir wakimaliza niulize