Ingelikuwa Wapiganaji wa TPLF ndio wanakula kipondo kutoka kwa Serikali sidhani Kama hizi juhudi za kumaliza Vita zingelikuwepo hata Kidogo. Lakini kwa vile TPLF wanatembeza Kichapo kwa Serikali na kukaribia kuuteka mji mkuu ndio unaona kila mtu anajitosa ili kuuokoa utawala wa Abiy Ahamed Ally.14 November 2021
Addis Ababa , Ethiopia
Marekani, Umoja wa Afrika, Viongozi wastaafu Afrika, rais Uhuru Kenyatta wajitosa kutafuta suluhu Ethiopia
Wadau wa Jumuiya ya Kimataifa watoa rai pande za serikali na wapiganaji wa Tigray kusitisha mapigano , ili kupatikane nafasi ya mazungumzo kutatua mzozo wa ndani ya taifa la Ethiopia.
Wadau wanaamini muafaka kupitia mazungumzo mezani ndiyo utaiepusha nchi hiyo kudhurika na mapigano yanaendelea sasa. Ethiopia pia makao makuu ya Umoja wa Afrika (AU) ktk jijini Addis Ababa bila kusahau ni makao ya mashirika makubwa ya Kimataifa yanayofanya shughuli zake barani Afrika kupitia Umoja wa Afrika, mashirika hayo yenye wawakilishi wenye wadhifa wa kibalozi.
14 November 2021
Addis Ababa, Ethiopia
Kenyatta visits Addis Ababa as AU urges ceasefire in Ethiopia war
Visit by Kenyan president comes as AU envoy Olusegun Obasanjo appeals to warring sides to halt military operations.
Kenya’s President Uhuru Kenyatta has arrived in Ethiopia amid growing international efforts for a cessation of hostilities in the country’s war, as African Union (AU) envoy Olusegun Obasanjo expressed hope dialogue can end the conflict but warned “such talks cannot deliver” without an immediate ceasefire.
More than 12 months of fighting between federal troops and Tigrayan forces have cost thousands of
facing famine-like conditions.
Obasanjo left Ethiopia on Thursday after meeting Prime Minister Abiy Ahmed and the leadership of the Tigray People’s Liberation Front (TPLF) rebel group, while United States special envoy Jeffrey Feltman also visited the country last week for talks.
On Sunday, Kenyatta, who has also participated in regional mediation efforts, landed in Ethiopia on a surprise one-day visit, with Abiy posting photos of the pair on Twitter.
Source : Kenyatta visits Addis Ababa as AU urges ceasefire in Ethiopia war
Abby ni mjinga, kaongozwa na chuki kuwatimua tigrayans toka sehemu na sekta muhimu za taifaHao TPLF ni genge tu Linalodhaminiwa na Watu Wasiomtaka Abbiy ahmed sadly ni kitu kitafanikiwa kabisa.... Wanamtoa Kama Walivyommaliza Muamar Ghadaf na Wengineo wengi akina Sankara....Ni Jambo la kusikitisha sana sana..Egypt Iko Nyuma ikitoa Mapesa Vifaa na Askari wengi vijana kutoka Ethiopia wasiokua na ajira na. Wengine Eritrea..Wakuu wengi wa Jeshi wamepewa hela wanahujumu . WATAMTOA NA BORA akimbie tu bado kijana ajipange upya...
Bahati Mbaya Afrika hawasaidiani Wanamuacha Mwenzao anakufa hivi hivi tu...
TPLF sio genge la kihuni ni kundi la kigaidi kabisa. Kwa maelezo yako watigray wameasi serikali kwa kuwa wametolewa sehemu muhimu, ina maana Ethiopia nzima ni wao tu wenye haki ya kushika hizo nafasi?Abby ni mjinga, kaongozwa na chuki kuwatimua tigrayans toka sehemu na sekta muhimu za taifa
Alichosahau kwa miaka 27 Ethiopia chini wa zenawi mtigray alifuta matatizo mengi ya Ethiopia and kuifanya kuwa imara.
Ikumbuke Ethiopia haikutawaliwa so katika miaka 500 ni 27 tu wamekaa watigray na hivyo waweza kuona ni kivipi wamefanikiwa kuitoa Ethiopia toka kwenye balaa la njaa lililokuwa likiwauwa mamia kila mwaka.
Abby kawatumia watigray wa eretria kuwauwa watigray wa Ethiopia, hizo ni chuki binafsi.
Abby mtu wa kabila la oromo kalelewa na zenawi mtigray, ni kama Daniel Moi na Kenyata baba
Abby kwa chuki amekuwa akiwaweka korokoroni watu wa promo anaowaona wanaushawishi katika waoromo, yaan Abby anataka abaki muoromo mkuu.Oromo ni kabila lake ila wamemuona ni mjinga na wanataka aondoke.
Jiulize kama watigray ni genge la wahuni mbona leo waoromo kabila la Abby wameungana na watigray kupambana na Abby.
Hata ningekuwa ni mimi ningekimbiaNamuonea huruma abbiy Ahmed alianza vizuri ...uongozi Africa ni kitu kigumu Sana...na pia alikuwa ni mtu wa haki ukiwa mtu wa haki hauwezi kudumu mfano magufuli.ghadafi...wenye nguvu duniani hawataki kuona viongozi wapenda haki na wenye maono mazuri wanataka viongozi wababaishaji ukiwa mkweli na mpenda haki ..Kuna raisi alikuwa wa Zambia alikuwa anaitwa Michael sata naye hakudumu ..Kuna mawili la ufe kabla ya wakati au utapata misukosuko ya Vita ...pole Sana abbiy Ahmed nakushauri kimbia mapema maana yake kifo chako hakipo mbali ..kimbia usife kijana...ghadafi aliambiwa akapuuzia matokeo yake Yuko kwenye udongo Sasa hivi ....kimbia ikiwezekana hata kesho...