Ethiopia: Waziri Mkuu Abiy Ahmed atangaza hali ya dharura nchini kote

Sitashangaa kusikia AA akihitajika Uholanzi kwa makosa ya kivita, wameanza kusemasema
 
Sunday, 14 November 2021
Addis Ababa

Uhuru Kenyatta meets Ethiopian leaders ahead of Antony Blinken visit

1636924796145.png

Photo : Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed (left) and Kenyan President Uhuru Kenyatta during the Kenyan leader's visit to Addis Ababa on November 14, 2021

President Uhuru Kenyatta on Sunday evening returned to Nairobi from a trip to Addis Ababa, his second in a month, as the region called for dialogue to end strife in Ethiopia.

Ethiopian Broadcasting Corporation NEWS 13 November 2021

14 November 2021
Addis Ababa , Ethiopia

Marekani, Umoja wa Afrika, Viongozi wastaafu Afrika, rais Uhuru Kenyatta wajitosa kutafuta suluhu Ethiopia

Wadau wa Jumuiya ya Kimataifa watoa rai pande za serikali na wapiganaji wa Tigray kusitisha mapigano , ili kupatikane nafasi ya mazungumzo kutatua mzozo wa ndani ya taifa la Ethiopia.

Wadau wanaamini muafaka kupitia mazungumzo mezani ndiyo utaiepusha nchi hiyo kudhurika na mapigano yanaendelea sasa. Ethiopia pia makao makuu ya Umoja wa Afrika (AU) ktk jijini Addis Ababa bila kusahau ni makao ya mashirika makubwa ya Kimataifa yanayofanya shughuli zake barani Afrika kupitia Umoja wa Afrika, mashirika hayo yenye wawakilishi wenye wadhifa wa kibalozi.

14 November 2021
Addis Ababa, Ethiopia

Kenyatta visits Addis Ababa as AU urges ceasefire in Ethiopia war​

Visit by Kenyan president comes as AU envoy Olusegun Obasanjo appeals to warring sides to halt military operations.

Kenya’s President Uhuru Kenyatta has arrived in Ethiopia amid growing international efforts for a cessation of hostilities in the country’s war, as African Union (AU) envoy Olusegun Obasanjo expressed hope dialogue can end the conflict but warned “such talks cannot deliver” without an immediate ceasefire.

More than 12 months of fighting between federal troops and Tigrayan forces have cost thousands of
facing famine-like conditions.

Obasanjo left Ethiopia on Thursday after meeting Prime Minister Abiy Ahmed and the leadership of the Tigray People’s Liberation Front (TPLF) rebel group, while United States special envoy Jeffrey Feltman also visited the country last week for talks.

On Sunday, Kenyatta, who has also participated in regional mediation efforts, landed in Ethiopia on a surprise one-day visit, with Abiy posting photos of the pair on Twitter.

Source : Kenyatta visits Addis Ababa as AU urges ceasefire in Ethiopia war
 
Ingelikuwa Wapiganaji wa TPLF ndio wanakula kipondo kutoka kwa Serikali sidhani Kama hizi juhudi za kumaliza Vita zingelikuwepo hata Kidogo. Lakini kwa vile TPLF wanatembeza Kichapo kwa Serikali na kukaribia kuuteka mji mkuu ndio unaona kila mtu anajitosa ili kuuokoa utawala wa Abiy Ahamed Ally.
 
Addis Ababa, Ethiopia

English News November 15/ 2021

FALSE INFORMATION, CLAIMS ADDIS ABABA ABOUT INSECURITY

Ethiopian Broadcasting Corporation
Source : EBC
 
18 November 2021
Addis Ababa

English Evening News ... November 18/2021

Top stories tonight :

Blinken call against Ethiopia faces resistance from Kenya

This Sunday more global protest on no war ...

Source : Ethiopian Broadcasting Corporation EBC
 
Hao TPLF ni genge tu Linalodhaminiwa na Watu Wasiomtaka Abbiy ahmed sadly ni kitu kitafanikiwa kabisa.... Wanamtoa Kama Walivyommaliza Muamar Ghadaf na Wengineo wengi akina Sankara....Ni Jambo la kusikitisha sana sana..Egypt Iko Nyuma ikitoa Mapesa Vifaa na Askari wengi vijana kutoka Ethiopia wasiokua na ajira na. Wengine Eritrea..Wakuu wengi wa Jeshi wamepewa hela wanahujumu . WATAMTOA NA BORA akimbie tu bado kijana ajipange upya...

Bahati Mbaya Afrika hawasaidiani Wanamuacha Mwenzao anakufa hivi hivi tu...
Abby ni mjinga, kaongozwa na chuki kuwatimua tigrayans toka sehemu na sekta muhimu za taifa
Alichosahau kwa miaka 27 Ethiopia chini wa zenawi mtigray alifuta matatizo mengi ya Ethiopia and kuifanya kuwa imara.
Ikumbuke Ethiopia haikutawaliwa so katika miaka 500 ni 27 tu wamekaa watigray na hivyo waweza kuona ni kivipi wamefanikiwa kuitoa Ethiopia toka kwenye balaa la njaa lililokuwa likiwauwa mamia kila mwaka.

Abby kawatumia watigray wa eretria kuwauwa watigray wa Ethiopia, hizo ni chuki binafsi.
Abby mtu wa kabila la oromo kalelewa na zenawi mtigray, ni kama Daniel Moi na Kenyata baba
Abby kwa chuki amekuwa akiwaweka korokoroni watu wa promo anaowaona wanaushawishi katika waoromo, yaan Abby anataka abaki muoromo mkuu.Oromo ni kabila lake ila wamemuona ni mjinga na wanataka aondoke.
Jiulize kama watigray ni genge la wahuni mbona leo waoromo kabila la Abby wameungana na watigray kupambana na Abby.
 
Si

TPLF sio genge la kihuni ni kundi la kigaidi kabisa. Kwa maelezo yako watigray wameasi serikali kwa kuwa wametolewa sehemu muhimu, ina maana Ethiopia nzima ni wao tu wenye haki ya kushika hizo nafasi?

Kwanini iwe sawa Abiy kukaa chini ya kikundi fulani cha watu wakati yeye ndie Rais, mbona Tanzania kila Rais anakuja na watu wake hatulalamiki(ukiondoa Jiwe aliekuwa mkabila)
 
Namuonea huruma abbiy Ahmed alianza vizuri ...uongozi Africa ni kitu kigumu Sana...na pia alikuwa ni mtu wa haki ukiwa mtu wa haki hauwezi kudumu mfano magufuli.ghadafi...wenye nguvu duniani hawataki kuona viongozi wapenda haki na wenye maono mazuri wanataka viongozi wababaishaji ukiwa mkweli na mpenda haki ..Kuna raisi alikuwa wa Zambia alikuwa anaitwa Michael sata naye hakudumu ..Kuna mawili la ufe kabla ya wakati au utapata misukosuko ya Vita ...pole Sana abbiy Ahmed nakushauri kimbia mapema maana yake kifo chako hakipo mbali ..kimbia usife kijana...ghadafi aliambiwa akapuuzia matokeo yake Yuko kwenye udongo Sasa hivi ....kimbia ikiwezekana hata kesho...
Hata ningekuwa ni mimi ningekimbia
 
4 November 2021

HoA TV / English - Wollo: TPLF's Final Burial Ground in Ethiopia? with Elias Amare and Prof. Hassan

"Wollo: TPLF's Final Burial Ground in Ethiopia?" with Elias Amare and Prof. Mohamed Hassan. Recorded on November 3rd for Horn of Africa TV.
Source : HORN OF AFRICA TV
 
October 4 , 2021

HoA TV youth - TPLF & Its Toxic Legacy in Ethiopia: 1975-1982 (Part 1)

TV Youth Program team Nebay Asghedom & Misgana Yohannes interview with Elias Amare on "The #TPLF & Its Toxic Legacy in #Ethiopia & the #HornOfAfrica: 1975 - 1982 (Part 1) In these 10-parts series of interviews in English, the 46-years long troubled history of TPLF, its secessionist ethnofascist agenda, the nature of the narrow and insecure clique of its leadership, and the ups-and-downs trajectory of its relations with the #EPLF/#Eritrea are examined in detail.

Source : Horn of Africa TV
 
23 November 2021

HoA TV - Disinformation & War by Media on Ethiopia: Interview with Dr. Endalk Chala

Disinformation & War by Media on Ethiopia: Interview with Dr. Endalk Chala hostey ba Elias Amare for Horn of Africa TV. Pre-recorded on November 16th 2021.

Source : Horn Of Africa TV
 
21 November 2021

Getachew Reda on current issues

Getachew Reda, spokesperson for the Tigray People's Liberation Front (TPLF).

Getachew Reda, the previous minster of the Government Communication Affairs Office 2012 - 2016 .

Before joining the Ministry, Getachew was a lecturer in law at Mekelle University from July 1998- March 2008.

He had previously been Director of the Media Communications department and from 2008, an advisor in the Ministry, writing for the Ministry’s online publication ‘A Week in the Horn’, preparing speeches and documents.

Source : Tigrai TV

READ MORE :

26 November 2021
Addis Ababa, Ethiopia

English evening News ... November 26/2014

Source : EBC
 
O
Iya ikut .. k. K. lk mmm . l j9 8uc . L lagi. Hati mas di rumah 9m8 m. . Km ooooh ooo 9iii9k. Lk i m m om. Km. Lk.. hijk po.. . o mmm k. b. ... l I m mmm b m ok . Kk. ok n l. 9 9
Lk. Lk. 8. K. Knk k l. l. F c. 9 k 9h. N . . K. 9 k. . B.k. .n . Ln l hi. . Okkmk . O k . o 8ji i bb k l v . J. BBB l
 
Back
Top Bottom