Ethiopia: Waziri Mkuu Abiy Ahmed atangaza hali ya dharura nchini kote

Sorry for saying this....It seems your still too young to understand this world.
Hii tabia ya kila shida zenu kuwatupia wazungu ni ya kindezi sana aisee, yaani nchi zote 53 za Africa hamuwezi kushughulikia shida zenu?? Mbona mkisikia kiongozi wenu kapinduliwa na jeshi mnakimbilia kuweka vikwazo??
 
Asante mkuu. Tatizo vijana wengi humu hawawezi unganisha "dots" na kufanya their own analysis.
Si kweli jamaa aliyeongelea bwawa yupo sahihi. Wazungu hawataki kabisa huku Africa uwe na kitu cha kukuendeleza labda kama wanafanya wao kama ilivyokuwa Zimbabwe na South Africa kwenye mashamba.
Ethiopia walipogoma kusitisha kujenga bwawa, nakumbuka Trump alisema kuwa Egypt wakalisambaratishe hilo bwawa. Nakumbuka pia Egypt na Sudan walifanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi. Naona Analysis ikaonyesha itakuwa vita kubwa ndipo wakaamua kutumia njia hii ya kuwatumia wasaliti / mapandikizi. Vifaa na wengi wa majeshi ya waasi wanatoka somewhere...

Hakuna sababu ya kuwazuia Ethiopia kujenga bwawa katika nchi yao kutumia maji kutoka nchini kwao.

Angalia hii!


Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Dah!...Abiy kaizamisha kabisa Ethiopia....ila mazungumzo ndio njia pekee ya kumaliza huu mzozo.

Hata hao Tplf na Ola wakishinda Vita hawataweza kuleta utulivu na makundi mengine ya jamii bila mazungumzo.

..tplf na Ola/Oromo wakifika addis ababa nani atashika madaraka?

..kabla Abbiy hajaingia madarakani, wakati wa Meles Zenawi, Ola/Oromo walikuwa mahasimu wakubwa wa Tplf.

..Na Abbiy anatokea jamii ya Waoromo sasa inashangaza ndugu zake kumpiga vita.
 
..tplf na Ola/Oromo wakifika addis ababa nani atashika madaraka?

..kabla Abbiy hajaingia madarakani, wakati wa Meles Zenawi, Ola/Oromo walikuwa mahasimu wakubwa wa Tplf.

..Na Abbiy anatokea jamii ya Waoromo sasa inashangaza ndugu zake kumpiga vita.
Abiy si alishaanza kuwafunga waoromo wenzake jela,acha wamnyooshe
 
Hii tabia ya kila shida zenu kuwatupia wazungu ni ya kindezi sana aisee, yaani nchi zote 53 za Africa hamuwezi kushughulikia shida zenu?? Mbona mkisikia kiongozi wenu kapinduliwa na jeshi mnakimbilia kuweka vikwazo??
Na vikwazo vya kiafrica Ni vya kikuda tu huko Mali,Guinea meza zimepinduliwa kibabe na vikwazo uchwara vya kutoka nchi maskini nyenzao vimewekwa lkn wajuba wanadunda tu.
 
Shida zitaisha pale nchi wanachama wa afrika watakapoungana na kupinga makundi yakipuuzi na wapuuzi.

Humu Kila siku huwa tunasema kuwa, afrika na muafrika ni mtu mmoja haijarishi anatoka ktk kabira gani, ama dini gani.

Inashangaza migogoro Kama hi huwasikii viongoz wa kiafrika kulaani vitendo viovu vya mapigano huko Ethiopia, na Wala huwez ona misaada yoyte ikitendeka, na tuna jumuiya nying tu za kimataifa baran, lkn sjui faida zake ni zipi.

Mambo Kama haya hutowai yaona yakitendeka uko dunia ya kwanza Zaid ya uku bara la giza...

hao waethiopia wanahitaji Sana msaada hata wamashauri toka ktk nchi za kiafrika Zaid kulko kukaa kimya wakat wenzetu wakitandikana bila sabbu za msingi..

Na huku Kuna huyu msafiri hutomuona kulaani hayo mavurugu, Zaid Zaid utamsikia akiitetea jinsia yake, na kuwasifia wale mabwana wanaomkopesha fedha za kupambana na uviko.
 
02 November 2021
Addis Ababa, Ethiopia

Rebels forces outside the gates of Kombolcha Town in Ethiopia


Government issued strong claims that non ethiopians have joined the TPLF rebels forces in Amhara state. Propaganda war on media outlets have escalated and the ethiopian government accused foreign media institutions for siding with TPLF...
Source : EBC / ETV
 
04 November 2021

"TPFL TRIGGERED THE TRAGIC CONFLICT IN TIGRAY" - PRIME MINISTER DR. ABIY AHMED


Prime minister points an accusing finger on TPLF and proxies in Western Oromoia, rebels in Amhara state and Tigray region ..
Source : News Amhara Media Corporation
 
5 Nov 2021
Addis Ababa, Ethiopia

Ethiopian government vows to fight rebels; EU calls for immediate, meaningful ceasefire |


Ethiopia's government has dismissed international calls for a ceasefire and has instead vowed to fight on. The government's communication office has put out an aggressive statement saying that it is not a country that crumbles under foreign propaganda.

Western envoys in Addis Ababa have reach out to its citizens who are in Ethiopia and advised them to leave the country as the conflict situation is escalating and warned that it might be difficult to leave in coming months if they don't adhere for calls to leave the country now...
Source : WION
 
7 Nov 2021
Johannesburg, RSA

National state of emergency in Ethiopia




A conflict between Ethiopia's government and forces in the northern Tigray region has thrown the country into turmoil. Ethiopia has declared a six-month national state of emergency. The rebels say they're considering marching on the capital Addis Ababa. Authorities there have told residents to prepare to defend their neighbourhoods. One analyst breaks down what's happening in the country currently. Courtesy #DStv403
Source : eNCA
 
Hao TPLF ni genge tu Linalodhaminiwa na Watu Wasiomtaka Abbiy ahmed sadly ni kitu kitafanikiwa kabisa.... Wanamtoa Kama Walivyommaliza Muamar Ghadaf na Wengineo wengi akina Sankara....Ni Jambo la kusikitisha sana sana..Egypt Iko Nyuma ikitoa Mapesa Vifaa na Askari wengi vijana kutoka Ethiopia wasiokua na ajira na. Wengine Eritrea..Wakuu wengi wa Jeshi wamepewa hela wanahujumu . WATAMTOA NA BORA akimbie tu bado kijana ajipange upya...

Bahati Mbaya Afrika hawasaidiani Wanamuacha Mwenzao anakufa hivi hivi tu...
 
Hao TPLF ni genge tu Linalodhaminiwa na Watu Wasiomtaka Abbiy ahmed sadly ni kitu kitafanikiwa kabisa.... Wanamtoa Kama Walivyommaliza Muamar Ghadaf na Wengineo wengi akina Sankara....Ni Jambo la kusikitisha sana sana..Egypt Iko Nyuma ikitoa Mapesa Vifaa na Askari wengi vijana kutoka Ethiopia wasiokua na ajira na. Wengine Eritrea..Wakuu wengi wa Jeshi wamepewa hela wanahujumu . WATAMTOA NA BORA akimbie tu bado kijana ajipange upya...

Bahati Mbaya Afrika hawasaidiani Wanamuacha Mwenzao anakufa hivi hivi tu...
Hawawezi msaidia maana wanaona ana mradi mkubwa wa maendeleo ya nishati ya umeme kuliko wao
So wivu lazima
 
PM Dr. Abiy Ahmed - Ethiopians are willing to pay the ultimate price in the war against 'terrorist' group TPLF


The Ethiopian army Northern command which has been taken over by TPLF, has 70 % of all ethiopian army armaments (light and heavy equipments), and thus has weakened the military power capabilities of the Ethiopian national defense forces ENDF army by Big margin to fight TPLF rebel forces.
Source : EBC


READ MORE :
Additional info from Prime minister office source : Ethiopia's Conflict: Will Negotiations With the TPLF Work?
 
08 November 2021
Addis Ababa, Ethiopia

Ethiopia can not do a shame Bow to external pressure : News in English : November 8/2021|etv



Thousands of Ethiopians turn up on the streets of Addis Ababa denouncing acts of atrocities carried out by TPLF ...
Source : EBC / ETV
 
BREAKING NEWS.

Wapiganaji wa TPLF wameziteka barabara Mbili Mhimu zinazounganisha Nchi ya Ethiopia na Djibout. Njia hizo ndizo zinazotumiwa na Nchi ya Ethiopia ili kuingia bidhaa kutoka nje kupitia bandari ya Djibout.

Ikumbukwe kuwa,Baada ya Eriteria kujitenga na Ethiopia,Nchi ya Ethiopia ilibaki na Nchi moja mshirika mwenye bandari ambaye Ni Nchi ya Djibout. Kutekwa kwa barabara hizo Muhimu kutasababisha usambazaji wa bidhaa Muhimu Nchini Ethiopia kuathirika.
 
Back
Top Bottom