Castor Kushoka
Member
- Jun 11, 2013
- 23
- 3
Huyu Esther Bulaya hana uwezo wa kujieleza hata huko bungeni kaingia kwa mbeleko tu.
Nasikia anadhamini mchezo na kuimba kwaya ila nasikia sijui km anaweza,au kuna mtu nyuma yake.
Huyu Esther Bulaya hana uwezo wa kujieleza hata huko bungeni kaingia kwa mbeleko tu.
Yani wewe msukule ni zero brain hakuna kitu kichwani mwako.
Wassira aligombea unec mkamchagua kwa kishindo baada ya kuwahadaa kuwa ataimaliza Chadema. Matokeo yake Chadema inaikimbiza mpera mpera ccm na serikali yake huku wasira akipiga ramli kuwa Chadema inakufa!
Kama wasira anasubiri kuapishwa basi itakuwa raisi wa buku saba fc ofisi ya lumumbas project fame!
Mtangazaji naye alibofoa kwa kusema esta bulaya ni mbunge wa chama tawala cha upinzani ccm hahah nilicheka sana
huyo wasira ni mtu dhaifu sana.je,unazijua sababu za matokeo ya bunda kucheleweshwa sn?.je unajua kuwa hata uchaguzi wa 2010 alichakachua matokeo?wana bunda wanalijua hilo.kwa faida yako tu ni kwamba ukiachilia mbali kuzomewa kwake mara 2 na wana bunda mgombea wa cdm ndg malugu alidhurumiwa ushindi wake mchana kweupe.
Esther Bulaya ndie nani?
hata mimi nimeshangaa kwakweli, nahis kuna kitu atakua alinyimwa mana sijategemea comment km hiyo toka kwa huyo jamaa.
Mie nimeshangaa jibu lake. Maana kaulizwa nje ya siasa hupenda kufanya kazi gani? Eti anasikiza hotuba za Martin Luther King jr, Nyerere na Mandela. Hivi kusikiliza ni kazi? Au mie ndio mshamba! Yaani kuna watu ambao kazi zao ni kusikiliza hotuba tu?
Nilitegemea aseme labda anafundisha, au analima anafanya biashara au hata anaandika vitabu n.k na si kusikiliza tu kama kazi yake zaidi ya siasa.
daa maskini poleni sana watu wa tarimee mkoani mara....ndoo damu yenu hii hamuwezi kukikataaa ....amewatia aibu wana tarime cha umuhimu mpelekeni jeshini
uongozi ni kipaji na hakitengenezwi kama pipi, mie namsamee kwa kuwa elim yake siijui ila lazima ajue nini maana ya kazi na kujisomea au kulifresh maind kwa kuangalia filam.Duh!! kumbe tunajuana lakini hatuambiani ukweli? hongera Ritz kwa hilo.
Ni kweli mkuu wanasiasa walio wengi ni wanafiki,mara kwa mara hutaka kuonekana smart machoni mwa jamii .Hapo mwenyezi Mungu ndiyo aliweka mpaka huwezi kujua mtu anawaza nini? jee anachokisema kimetoka ndani ya nafisi yake? au hapana.Hata kama ikitikea wananchi wamevunja sheria fulani au wako kwenye makosa, hushindwa kuwa ambia ukweli na kuwaelekeza njia sahihi hii ni hatari, wenyewe ni kujiweka upande wa kuwatetea bila kujali madhara yanayoweza kujitokeza.kuna kitu kikubwa cha kujifunza kutoka kwa wanasiasa,ya kwamba vitu wanasiasa wanavyovisema au kuvitenda havitoki rohoni/si halisi, na namna tu ya kudanganya jamii kuwa wao ni watu wazuri sana wapo smart na wanajali wananchi kumbe uongo mtupu plus maigizo.
100% ya wanasiasa wa tanzania wanaishi kwa maigizo(kama bongo movie) na mh esther bulaya kawawakilisha wote.
Huyu Esther Bulaya hana uwezo wa kujieleza hata huko bungeni kaingia kwa mbeleko tu.
Huyu ndie wa Kupambana na Wassira?
Wassira anapambana na chama kama cdm na kukishinda sembuse bulaya?
Wassira anategemewa kuchukua nchi sembuse huyu kilaza ambaye hata 4m four yake ya mashaka.
Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana toka chama cha mapinduzi aki!wakilisha mkoa wa Mara wilaya ya Bunda alikuwa akifanyiwa mahojiano katika kipindi cha ''hot mix'' kinachorushwa kupitia kituo cha television cha EATV - Chanel 5!
Akaulizwa swali kuwa nje ya siasa anapenda kufanya shughuli gani?mojawapo ya shughuli aliyoitaja kwamba huifanya ni pamoja na kusoma vitabu na kusikiliza hotuba za wanaharakati kama Martin Luther King Jr., Mwalimu Nyerere na Mandela!
Katika kukoleza maelezo yake akasema anapenda sana kusoma kitabu kinachoitwa ''How to be a Good Political Leader''. Mtangazaji akamuuliza jina la Author wa hicho kitabu lakini mheshimiwa mbunge akashindwa kumtaja kwakuwa alikuwa hamkumbuki pamoja na kuomba apewe muda ili amkumbuke!!
MY TAKE:
Kwa mtazamo wangu si rahisi mtu kusahau jina la author wa kitabu unachokipenda kukisoma mara kwa mara! Pengine Mh.Esther alikuwa anatafuta mileage kwamba ni msomaji mzuri wa vitabu lakini kachemka kwa kutomjua author wa kitabu akipendacho!