B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
Huyu Esther Bulaya hana uwezo wa kujieleza hata huko bungeni kaingia kwa mbeleko tu.
Duh!! kumbe tunajuana lakini hatuambiani ukweli? hongera Ritz kwa hilo.
Huyu Esther Bulaya hana uwezo wa kujieleza hata huko bungeni kaingia kwa mbeleko tu.
Wewe ndo mshamba! hotuba za wanaharakati zimechangia sana katika kuwapa watu hamasa. vijana wengi hata leo wanasikiliza hotuba za viongozi wa zamani, wanafalsafa, wanaharakati na watu hupata elimu kwa kusikiliza kama vile kusoma! Nakushauri utafute muda uwe unzisikiliza kwa makini hotuba za hayati baba wa taifa (ziko nyigi mitaani kwa bei ya tzs 2,000 tu). Utajifunza mengi kwa kusikiliza pia!
Vipofu wawili.Mtangazaji naye alibofoa kwa kusema esta bulaya ni mbunge wa chama tawala cha upinzani ccm hahah nilicheka sana
Basi ulitaka aseme anapenda kusikiliza taarabu au kulala?
Huyu ndie wa Kupambana na Wassira?
Wassira anapambana na chama kama cdm na kukishinda sembuse bulaya?
Wassira anategemewa kuchukua nchi sembuse huyu kilaza ambaye hata 4m four yake ya mashaka.
Huyu Esther Bulaya hana uwezo wa kujieleza hata huko bungeni kaingia kwa mbeleko tu.
Tatizo lako unaongozwa na chuki kama lilivyo jina lako. Esther Bulaya ni better off mara mia nane kuliko Wassira.
Kama Wassira anajiandaa kuchukua nchi basi itakuwa nchi ya kusadikika kwakuwa hana uwezo wa kupambana na Chadema sasa atawezaje kuishinda? Kama vyombo vya dola policcm na ticcm wanahenya kupambana na Chadema sasa mzee wassira aliyechoka kiakili na kimwili anawezaje kufanya mpambano na Chadema!
Ubunge tu wa Bunda tayari Esther Bulaya keshamzidi nguvu huko ndani ya ccm. Ye ajiandae tu kula pensheni yake ya uzeeni.
Basi ulitaka aseme anapenda kusikiliza taarabu au kulala?
Kati ya wabunge wanaonifanya niendelee kuiamini CCM basi ni Ester Bulaya. Naomba namba yake jamani wana JF kwa yoyote aliyenayo.
Esther Bulaya ndie nani?
Huyu ndie wa Kupambana na Wassira?
Wassira anapambana na chama kama cdm na kukishinda sembuse bulaya?
Wassira anategemewa kuchukua nchi sembuse huyu kilaza ambaye hata 4m four yake ya mashaka.
Unachokiongea hata hukijui we kilaza
1.Esta bulaya hawezi kupambana na Wassira hata robo huko bunda, Yaani kama Bulaya anagombea basi Wassira anakwenda siku ya kuapishwa tu maana Tyson Ana historia ya kumaliza mpambano hata kabla haujaanza, Ulizaa Warioba alifanyweje na mtu huyu.
2. Kama katibu Wako Mkuu wa Chadema na Mkiti Wako wanaogopa ku-argue na Tyson, Maranya we ni nanii muraaa?
3.Hakuna asiyejua kuwa Tyson is a song of the day mnapoaanza hotuba na vikao vyenu.
4.Akigombea mziki mnaujua.

Hiyo mbona kawaida sana!
Labda alikisoma miaka 2 iloyopita na aliazima kwa mtu.kusahau author ni inawezekana tu!
Hiyo ni sawa na
mtu mmoja kwenye interview aliyeulizwa tofauti na siasa anapenda nini zaidi!akajipambanua kuwa ni mshabiki mkubwa wa kambumbu!kuulizwa anashabikia timu gani hapa tz! Man u! Aha!
kumbe kuna siku moja moja unasemaga kweli! BravoHuyu Esther Bulaya hana uwezo wa kujieleza hata huko bungeni kaingia kwa mbeleko tu.