Anna William Tarimo
Member
- Mar 25, 2013
- 96
- 6
ni mwanaharakati mzuri sana nakiongozi mtulivu na mwanahabari makini wa ccm
Pamoja na kuonekana amechemka ila nasikia ni kipenzi kikubwa kwa wananchi wa jimbo la Bunda, na kwa kiasi kikubwa anatishia maisha ya kisiasa ya Mzee Tyson, watu wa Jimbo la Bunda wanaweza kutupatia ukweli
Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana toka chama cha mapinduzi akiwakilisha mkoa wa Mara wilaya ya Bunda alikuwa akifanyiwa mahojiano katika kipindi cha ''hot mix'' kinachorushwa kupitia kituo cha television cha EATV - Chanel 5!
Akaulizwa swali kuwa nje ya siasa anapenda kufanya shughuli gani?mojawapo ya shughuli aliyoitaja kwamba huifanya ni pamoja na kusoma vitabu na kusikiliza hotuba za wanaharakati kama Martin Luther King Jr., Mwalimu Nyerere na Mandela!
Katika kukoleza maelezo yake akasema anapenda sana kusoma kitabu kinachoitwa ''How to be a Good Political Leader''. Mtangazaji akamuuliza jina la Author wa hicho kitabu lakini mheshimiwa mbunge akashindwa kumtaja kwakuwa alikuwa hamkumbuki pamoja na kuomba apewe muda ili amkumbuke!!
MY TAKE:
Kwa mtazamo wangu si rahisi mtu kusahau jina la author wa kitabu unachokipenda kukisoma mara kwa mara! Pengine Mh.Esther alikuwa anatafuta mileage kwamba ni msomaji mzuri wa vitabu lakini kachemka kwa kutomjua author wa kitabu akipendacho!

Kama hujaelewa kalale utakuwa umechoka, kesho ukiamka rudia kuisoma na kuangalia coments za wenzako unaweza ukaelewa na ikishindikana uliza tena tutakuelewesha. KALAMBALALE UKATEELE (KALALE UMECHOKA).- Ok So what?
Le Mutuz
Dada Ester anauzika,chongeni sana na sanamu lenu,tena nakumbuka Tyson alikuwa mgeni rasmi kufungua bwawa la kunyweshea mifugo alipoinama kuangalia maji,akawauliza wanazengo; mmeshaanza na kufunga mamba? Watu tehe tehe tehe tehe.ukisema taarabu utakuwa unakosea,esta husikiliza nyimbo za komba tu kama vile ule wa "TIENI TIENI KWA MOYO MMOJAA....."
Mh. Bulaya simama mungu yu pamoja nawe,maadili ya vijana wenzako ndo haya peleka mswada bungeni ili viboko viendelee mashuleni. Napenda sana unavyoongea kwa data,kujiamini na unavyovaa kiasilia na usivyo mbaguzi hata kwa wabunge wa upinzani, wewe na January Makamba mtafika mbali msikate tamaa na wana JF kwani wengi hasira za maisha magumu tunazimalizia humu na si kingind.Mnajadili chakula cha watu,hamjui kwamba mtu kawekeza pale
Huna kazi, katafute kibarua, kwani wewe kutuletea huu ujinga unatafuta nini? Uonekane ili mradi umechangia JF. Waste of time
Ritz acha kutumiwa na genge la wahuni wa lumumba kum-defence wa wasira,tunajua wasira ana hali mbaya sana bunda kisiasa na kwa taarifa yako bulaya vijana wengi wanamkubali tafauti na huyo mnaempenda hapo lumumba wasira
kipindi nipo 6 mwaka 2008 nilikuwa napenda kusoma Think Big na Gifted Hands vya Ben Cassons,sasa huyu hajui author wa kitabu anachokisoma mara nyingi.Adrian njoo umtetee Muheshiwa
Ni kweli yuko karibu na Halima Mdee ili asaidiwe mambo ya harakati?Esther Bulaya wala siyo kiongozi kama anavyojitanabaisha. Tena anajitahidi sana kukaa karibu na Halima Mdee ili amsaidie mambo ya kiuanaharakati, lakini wapi! Hawezi kuwa mwanaharakati hata chembe.
Umeona eeh!! Esther Bulaya alitaka kujionyesha yeye wa kivile kumbe wapi.Alidhamiria kudanganya lakini mungu akampiga kikumbo , badala ya kusema anapenda kuangalia sinema za kanumba akataka kutupiga changa la macho , poor we dada esta !
Msimpagawishe Esta jamani, hata yeye anajua kuwa akisimama kwenye uchaguzi hatakaa apite. Alipata ubunge wa viti maalum kwa jinsia yake tuu. Mara, mwanadada huyu hatakaa apate kwa kura.
Pamoja na kuonekana amechemka ila nasikia ni kipenzi kikubwa kwa wananchi wa jimbo la Bunda, na kwa kiasi kikubwa anatishia maisha ya kisiasa ya Mzee Tyson, watu wa Jimbo la Bunda wanaweza kutupatia ukweli
Huyu Esther Bulaya hana uwezo wa kujieleza hata huko bungeni kaingia kwa mbeleko tu.