Esther Bulaya (MB) Achemka Katika Interview EATV Chanel 5...!

Esther Bulaya (MB) Achemka Katika Interview EATV Chanel 5...!

Status
Not open for further replies.
Anawaza 2015 jinsi ya kupambana na Mzee wa Mahusiano a.k.a Tyson the waziri.
 
Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana toka chama cha mapinduzi akiwakilisha mkoa wa Mara wilaya ya Bunda alikuwa akifanyiwa mahojiano katika kipindi cha ''hot mix'' kinachorushwa kupitia kituo cha television cha EATV - Chanel 5!

Akaulizwa swali kuwa nje ya siasa anapenda kufanya shughuli gani?mojawapo ya shughuli aliyoitaja kwamba huifanya ni pamoja na kusoma vitabu na kusikiliza hotuba za wanaharakati kama Martin Luther King Jr., Mwalimu Nyerere na Mandela!
Katika kukoleza maelezo yake akasema anapenda sana kusoma kitabu kinachoitwa ''How to be a Good Political Leader''. Mtangazaji akamuuliza jina la Author wa hicho kitabu lakini mheshimiwa mbunge akashindwa kumtaja kwakuwa alikuwa hamkumbuki pamoja na kuomba apewe muda ili amkumbuke!!

MY TAKE:
Kwa mtazamo wangu si rahisi mtu kusahau jina la author wa kitabu unachokipenda kukisoma mara kwa mara! Pengine Mh.Esther alikuwa anatafuta mileage kwamba ni msomaji mzuri wa vitabu lakini kachemka kwa kutomjua author wa kitabu akipendacho!
Kati ya wabunge wanaonifanya niendelee kuiamini CCM basi ni Ester Bulaya. Naomba namba yake jamani wana JF kwa yoyote aliyenayo.
 
Esther Bulaya wala siyo kiongozi kama anavyojitanabaisha. Tena anajitahidi sana kukaa karibu na Halima Mdee ili amsaidie mambo ya kiuanaharakati, lakini wapi! Hawezi kuwa mwanaharakati hata chembe.
Chuki binafsi itakufanya uonekane kama una ebola.
 
Pamoja na kuonekana amechemka ila nasikia ni kipenzi kikubwa kwa wananchi wa jimbo la Bunda, na kwa kiasi kikubwa anatishia maisha ya kisiasa ya Mzee Tyson, watu wa Jimbo la Bunda wanaweza kutupatia ukweli
Huyo Tyson feki sa kipige na Cheka!
 
daa maskini poleni sana watu wa tarimee mkoani mara....ndoo damu yenu hii hamuwezi kukikataaa ....amewatia aibu wana tarime cha umuhimu mpelekeni jeshini
 
Mie nimeshangaa jibu lake. Maana kaulizwa nje ya siasa hupenda kufanya kazi gani? Eti anasikiza hotuba za Martin Luther King jr, Nyerere na Mandela. Hivi kusikiliza ni kazi? Au mie ndio mshamba! Yaani kuna watu ambao kazi zao ni kusikiliza hotuba tu?
Nilitegemea aseme labda anafundisha, au analima anafanya biashara au hata anaandika vitabu n.k na si kusikiliza tu kama kazi yake zaidi ya siasa.
Basi ulitaka aseme anapenda kusikiliza taarabu au kulala?
 
Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana toka chama cha mapinduzi akiwakilisha mkoa wa Mara wilaya ya Bunda alikuwa akifanyiwa mahojiano katika kipindi cha ''hot mix'' kinachorushwa kupitia kituo cha television cha EATV - Chanel 5!

Akaulizwa swali kuwa nje ya siasa anapenda kufanya shughuli gani?mojawapo ya shughuli aliyoitaja kwamba huifanya ni pamoja na kusoma vitabu na kusikiliza hotuba za wanaharakati kama Martin Luther King Jr., Mwalimu Nyerere na Mandela!
Katika kukoleza maelezo yake akasema anapenda sana kusoma kitabu kinachoitwa ''How to be a Good Political Leader''. Mtangazaji akamuuliza jina la Author wa hicho kitabu lakini mheshimiwa mbunge akashindwa kumtaja kwakuwa alikuwa hamkumbuki pamoja na kuomba apewe muda ili amkumbuke!!

MY TAKE:
Kwa mtazamo wangu si rahisi mtu kusahau jina la author wa kitabu unachokipenda kukisoma mara kwa mara! Pengine Mh.Esther alikuwa anatafuta mileage kwamba ni msomaji mzuri wa vitabu lakini kachemka kwa kutomjua author wa kitabu akipendacho!

kipindi nipo 6 mwaka 2008 nilikuwa napenda kusoma Think Big na Gifted Hands vya Ben Cassons,sasa huyu hajui author wa kitabu anachokisoma mara nyingi.Adrian njoo umtetee Muheshiwa
 
kuna kitu kikubwa cha kujifunza kutoka kwa wanasiasa,ya kwamba vitu wanasiasa wanavyovisema au kuvitenda havitoki rohoni/si halisi, na namna tu ya kudanganya jamii kuwa wao ni watu wazuri sana wapo smart na wanajali wananchi kumbe uongo mtupu plus maigizo.
100% ya wanasiasa wa tanzania wanaishi kwa maigizo(kama bongo movie) na mh esther bulaya kawawakilisha wote.
He hivi hata drs la pili ulifka?
 
Nani alikudanganya kuwa yuko karibu na Halima Mdee kwa ajili ya kudesa? Wale ni mashoga tuuuuuuuuuuuu..........???Tena mara nyingi wanashare hata getto.
Kwa jina la baba nala mwana na roho mtakatifu amen! Mungu akusamehe huenda mihadarati ndo inayoandika.
 
Mnajadili chakula cha watu,hamjui kwamba mtu kawekeza pale

mkuu ebu itendee haki JF.... WEKA MAMBO WAZI MKUU.. HAPA NDIO JF... HUYU MB (VITI MAALUMU) NI CHAKULA YA NANI ???... CHAKULA YA MZEE WA MARUHANI?? A.K.A MZEE WA KUDONDONKA.. A.K.A MZEE WA SEMBE MAGOGONI AU..??? FUNGUKA
 
Katiba mpya ifute viti maalumu. Wakina mama wapambane sio kupewa ulaji wa bure kwa kodi za wananchi.
 
msiwaamini wanasiasa by Zitto Kabwe
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa wanasiasa wengi wana fake status zao ili waonekane wako smart lakini ukiwafuatilia unakuta bado wanapwaya sana wanapojieleza!

Pamoja na kushindwa kumfahamu author wa kitabu anachopendelea kukisoma lakini kusikiliza hotuba haiwezi kuwa kazi!
Mkuu Mura mwache mwanadada uyo ndo mkali wao CCM ,ndiye jabali kwao kwani hata kuthubutu tu kutokea nadhani hapo alipo yupo chumba maalumu kwa kazi alofanya leo.Si unakumbuka woote wanaingiaga mitini Makamba,Dentist,Luu Kuu Vii wiki ilopita aliweka mkia kule wanakoweka mbwa waoga?Ndo uhalisia wa viongozi wa chama chao.
 
uyu dada anajilazimisha sana kuonekana ni bora, lakini kiukweli bado sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom