ibrahim konga
Member
- Feb 14, 2016
- 21
- 7
Maskin haki yake huporwa na tajiri hivyo bas ccm kwa kuwa ndio dollar wanafnya wajisikiavyo kufnya.........
Una uhakika utakuwa haiKwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
askari wa ccm ndo askar wenuSasa mnapaswa kumuuliza na kumlalamikia Spika wa Bunge lkn siyo Askari wetu, Askari wetu hutekeleza Amri Tu na siyo vinginevyo!
Ile amri ya Tossi ndio imeanza kufanyakazi nini?Aliambatana na Rafiki yake kipenzi Halima Mdee
Saa saba usiku mtu anakunywa maji ya baridi! hii itakuwa ngada tu.View attachment 329145
Mbunge wa jimbo la Bunda,Ester Bulaya amekamatwa na Jeshi la Polisi jijini Mwanza na kulazimika kulala rumande baada ya kunyimwa dhamana.
Polisi walivamia Hoteli aliyofikia mbunge huyo na kumkamata majira ya saa 7 usiku na kisha kumpeleka kituo cha kati cha Jijini Mwanza akiwa ameambatana na Mhe. Halima Mdee (Mb) , Joyce Sokombe (Mb) pamoja na Wakili John Malya.
Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Justus Kamugisha amesema hati ya kukamatwa kwake imetoka ofisi ya Bunge na kwamba Mbunge huyo anashikiliwa kama mtuhumiwa ambaye anatakiwa kusafirishwa kwenda Dar es Salaam.
Wabunge hawa pamoja na uongozi wa juu wa CHADEMA Wako jijini Mwanza kwa ajili ya kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kinachofanyika leo katika Hotel ya Gold Crest.
Ukatili huuu utawarudia siku moja, halafu wanahadaaa watanzania kuhusu utawala bora,makada wanaruhusiwa kupiga na kuwa bila kushtakiwa, Mh. alipewa na bonus ya uspika.
Sasa mnapaswa kumuuliza na kumlalamikia Spika wa Bunge lkn siyo Askari wetu, Askari wetu hutekeleza Amri Tu na siyo vinginevyo!
Kukamatwa ni sifa ya kupata ubunge chadema?Nassari hajawahi kukamatwa why??
Askari mwenye akili na uelewa wa Nazi take HUTEKELEZA AMRI HALALI TU. Hata mbwa waliofunzwa vyema HUTII AMRI HALALI TU.
Mwaka Juzi ulisema Hivi Hivi mkuuKwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji