Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
hebu tujuze mkuuKwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
hebu tujuze mkuuKwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
Bado sana kuanza kujadili ya 2020. Lakini kwa siasa za Mbeya upande wa CCM sintashangaa sugu akiendelea kuwepo bungeni kwa miaka mingine mingi tu akitaka.Kwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
WEWE SONGAMBELE UMENICHEKESHA, KWANI KUWA MPINZANI UNATAKIWA UKAE MUDA GANI?Mbona huyo sio mpinzani? Kafata ubunge juzi Tu huko CCM zaidi kuliko huko upinzani
ndio maisha yao hayo..Sijui kwanini ukishabikia CCM unakuwa kama una akili haba? Sasa hapa ndio umeandika upuuzi gani wewe jamaa?!
Ova
Hivi baada ya magamba waliokuwa CCM kuondoka na kujiunga CHADEMA bado kuna watu wanaiita CCM chama cha magamba? Mbona itakuwa utani sasa? Ukweli ni kuwa kwa sasa chama cha magamba ni CHADEMA na hilo jambo kwetu sisi tuliokuwa tuna imani na CHADEMA linatuuma sana sana. Tulimbilie wapi kujifariji?Hakuna kitu magamba wanatoa chati kwa upinzani kama hayo mambo ya kukamata kamata viongozi wa vyama vya upinzani.
Hata sijui akili zao huwa zinawatuma nini?! Upuuzi huu unaonesha wazi kwa raia kuwa magamba wanatumia nguvu ya ziada kuzima wapinzani.
Lakini magamba yenyewe wala hata hayaelewi, kila siku yanakamatisha wapinzani na kuachiwa, na kutoa headlines kwa viongozi wa upinzani.
Sijui kwanini ukiwa CCM unakuwa kama una akili haba?
Ova
Bado upo ndotoni wew...Eti mihemko!? Watu nowdays hawachaguliwi viongozi tena kama ccm mlivyozoea.....kama unasubiri wabunge wa upinzani kupungua utasubiri sana mkuu...labda hii nguvu ya soda ya magu inakuzingua,ebu jiulize tokea magu ameingia umeona unafuu gani wa maisha ya mtu wa kawaida!? Huo usanii.wa kutumbua utafika mwisho hapo ndipo wananchi watapaza sauti zao! Upinzani unahimalika na utaendelea sana kwenye huu uongozi wa magu!Kwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
Jipange ulete habari iliyokaa sawa.Ule muendelezo wa kukamata kamata wabunge wa Upinzani umeendelea usiku wa kuamkia jumamosi kuelekea kwenye kikao cha Kamati kuu na Badae Baraza kuu la chadema baada ya Polisi wa Mwanza kumkamata Mbunge Estar Bulaya wa jimbo la Bunda mjini akiwa hotelini kwa maagizo ya Speaker wa Bunge, Job Ndugai.