Estar Bulaya aachiwa huru

Estar Bulaya aachiwa huru

Bila ya MaCCM yenyewe kujua, hii issue imemuimarisha zaidi Bulaya na kujitambua kama sasa amejivua kabisa uccm.
Kwa kuanzia ukamatwaji wake hadi kufikishwa Dar na baadaye kupata dhamana, ameshakuwa kamanda kamili.
Tegemeeni kumuona Bulaya imara zaidi toka sasa, na wala siku sio nyingi atadhihirisha kuwa yeye ni sawa na Wabunge 200 wa CCM.

Ova
Ndio maana Lumumba wanaitwa nusu kijiko
 
Lakini Mungu alipoamua kuiteketeza Babeli iliangamia licha ya kuwa na waganga na walozi na dola yenye nguvu. Hata wakitumia nguvu gani; Mungu akiamua hawataweza cha msingi watumie busara. Wisdom is more than power.
 
Lakini Mungu alipoamua kuiteketeza Babeli iliangamia licha ya kuwa na waganga na walozi na dola yenye nguvu. Hata wakitumia nguvu gani; Mungu akiamua hawataweza cha msingi watumie busara. Wisdom is more than power.
Hongera kwa ulichopost , sometimes tunamsahau sana Muumba,
 
Hii ndo jamii aisee ilukienda hospital hakuna Dawa.Huduma hakuna wako busy na bissness zao wakiwajibishwa mnalalama kama sio unafiki Nn? Wapuuzi wakubwa ninyi shtuken chadema ni genge hakuna kiongoz mwadilifu pale ni magu tu
 
Nani anaye fadhili genge hili? Ruzuku ya kila mwezi inatoka selekali ya chama gani?. Selekali unayo fadhili ufisadi nayo ni fisadi.........!!!!!!!.
Hii ndo jamii aisee ilukienda hospital hakuna Dawa.Huduma hakuna wako busy na bissness zao wakiwajibishwa mnalalama kama sio unafiki Nn? Wapuuzi wakubwa ninyi shtuken chadema ni genge hakuna kiongoz mwadilifu pale ni magu tu
 
Subir ndo maana wanawsjibishwa ili raia apate anachostahili sio pelepete nyiiiingi.kulalamika hakuishi? Ebu mumsapoti ili apate Nguvu ya kufanya makubwa zaidi
 
Yani kuwa mwanachadema ni tatizo tosha Zaidi ya kansa,ile kauli ya msigwa ilikuwa na maana sana,na nmechunguza kwa makini wafuasi wengi wa CDM hawako sawa kiakili wengi wao ndo wale walishapoteza kazi yao kumtupia lawama kila alie mbele yao
 
hamjibu hili swali wote mnalalamika tu..

kosa la Esther ni nini?
Sanasana wanasema tu alihamasisha maandamano....kumbe wapi.

Wassira anatumia kila namna hapa Bunda mpaka kuwahonga vijana mapolisi na wanaccm wenzake ili ionekane Bulaya hafanyi chochote zaidi ya maandamano. Wassira aliahidi hayo tokea wakati aliposhinda ubunge Ester Bulaya.
 
no...pale alipofikishwa ofisi za bunge lazima awe aliambiwa...lazima pia yeye anajua ana mvutano gani na ofisi ya spika....tuache kulalamika tu...tujue alikamatwa kwa kosa gani?
Wanamchochea na kumrefer kwa spika ni waccm wa Bunda kwa tuhuma za uchochezi na kuhamasisha maandamano. Hizo ndio sababu hewa zinazotolewa kwasasa,baada ya muda utasikia tuhuma zingine.
 
Huyu ndugai kwa kura ya maoni si alimpiga mpinzani wake na akazimia, alifanywa nini
 
Kesi ilifunguliwa wapi? Ndio waje kumkamata leo kwa kosa la mwaka jana?
Wassira alishasema kuwa atafanya kila namna Ester ashindwe kuongoza Bunda. Sasahv anawatumia polisi na vijana wanaccm kwa kuwahonga ili kumkabili Ester Bulaya,na hiyo kesi haina mantiki yoyote na nyingine waliyotunga ni kuwa Ester ni mchochezi na anahamasisha maandamano ya mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom