Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
- #141
Amen AmenMungu atamsimamia
Amen AmenMungu atamsimamia
SijakupataAmetoka Makwapi,
Maji yakijaa utapita wapi
Mkuu ujumbe wako ni mzuri sana ila umekosea kuingiza mambo ya dini hapo.WAPI HAKI ZA BINADMU, WAPI WANAHARAKATI, WAPI TAMWA, WAPI TAULA, WAPI LHRC, WAPI KIBAMBA, WAPI, NYA, WAPI BISIMBA, WAPI VIONGOZI WA DINI?? DEMOKRASIA IKO WAPI? MBONA HATUONI MATAMKO WALA MAANDAMANO? AU KWA VILE NI AWAMU YA WA DINI YETU? YULE TULIKUWA TUNAMFANYIA MAANDAMANO NA KUMSUMBUA KWA VILE HAKUWA WA DINI YETU?
Sijakupata
Mamvi ajinyonge kwa lipi,kumwibia kura?BWANA ndiye mchungaji wake.....Mbona mamvi hakujinyonga.
Mamvi ajinyonge kwa lipi,kumwibia kura?BWANA ndiye mchungaji wake.....
Nina hamu sana kuonana ana kwa ana na wenye mawazo kama yako niwafaidi kama inavowafaidi CCM....Kwa kuangukia pua.
Nina hamu sana kuonana ana kwa ana na wenye mawazo kama yako niwafaidi kama inavowafaidi CCM....
Go back to school. You need head reconditioning.Maana wewe zako ziko sawa? Ujaelewa nimesema nini?
Aibiwe na nani? Labda kajiibia kura.Mamvi ajinyonge kwa lipi,kumwibia kura?BWANA ndiye mchungaji wake.....
Go back to school. You need brain reconditioning to help you see the world more clearly.Maana wewe zako ziko sawa? Ujaelewa nimesema nini?
Wewe ndio Muombe sana Mungu urudi kwenye hali ya ubinadamu utoke kwenye ufisi wakoGo back to school. You need brain reconditioning to help you see the world more clearly.
Hizo sheria zipo kwa wapinzanj tu?Chongenii lakini taratibu zitafuatwa hats Kama mnajifsnya hamuoni
Kwani wongo mlifanya niniAibiwe na nani? Labda kajiibia kura.
Demokrasia gani lazima sheria za nchi ziheshimiwe. Hakuna hata mmoja aliyeko juu ya sheriaWAPI HAKI ZA BINADMU, WAPI WANAHARAKATI, WAPI TAMWA, WAPI TAULA, WAPI LHRC, WAPI KIBAMBA, WAPI, NYA, WAPI BISIMBA, WAPI VIONGOZI WA DINI?? DEMOKRASIA IKO WAPI? MBONA HATUONI MATAMKO WALA MAANDAMANO? AU KWA VILE NI AWAMU YA WA DINI YETU? YULE TULIKUWA TUNAMFANYIA MAANDAMANO NA KUMSUMBUA KWA VILE HAKUWA WA DINI YETU?
Sheria niwapinzani tu wafuate?Demokrasia gani lazima sheria za nchi ziheshimiwe. Hakuna hata mmoja aliyeko juu ya sheria
You never know....It may be a good luck.What a bad luck.